Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Bro bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda kabla hujazaa ulikuwa na tako na sasa limeisha. Sijui kuna mazingaombwe gani aisee. Binti kabla hajazaa mtako huoo anaburuta. Sasa subiri akijifugua abakie na unene wake wa mimba na kitambi aisee tako linapotea kabisa. Tena ukimkuta hata kujipodoa keshaacha mzuka wote kwisha yaani lakini ndo hivyo ushabeba...Mwili wa mwanamke hubadilika sana vijana chagueni vizuri hasa kama kigezo kimojawapo ni uzuri wa mwili....tako, nyonyo..n.k