Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Pole sana jitahidi kuongea naye kwa upole na kwa kina ili ujue tatizo liko wako wapi, kila lakheri.
 
















Nakuonea huruma mnoooo,ila ndo hvo haushauriki[emoji19]
Red flags zilianza onekana miaka minne nyuma huko....
Ungefanya maamuzi tangu kipind hiko ungekua ushamove on kitambo sanaaaa...
Kwa style hii huyu achape mwendo tu ameanza kulalamika long time hivi?
 
Hakufukuzi,hakunyanyasi inatosha kaa tulia,na kakupa heshima ya kukuoa, swala la mkate wa uzima linazungumuzika.
 
Mkiwa na watoto wawili/watatu mmeshajenga stability. Hata jamaa ataifiria kabla hajaanza kulichapa lapa.
Hawa kina okechuku wetu wa sasa, hata ungezaa Mia. Mhusika atafute tu furaha yake na alee mtoto wake
 
Jamaa hatembezi mkuyati tena ha ha ha nimemuelewa anataka umalizane na ulezi kwanza
 
Go with the flow, jiulize kwanza ni kwanini uko hapo, ukipata jibu lizingatie. Kusema ukweli kuzaa watoto baba tofauti haipendezi, hata kama una mpango wa kuondoka jitahidi upate watoto wawili wa baba mmoja.
Mpe solution ya maana
Kujizalisha tena haitomsaidia kitu kama hajatibu tatizo zaidi sana atajiongezea idadi ya watoto ambao baba hana mwelekeo
 
Hiyo ni hali ya mpito tu, mbeleni mambo yatakuwa matamu kama zamani. Hata hivyo usimchukulie kimazoea ukajisahau
 
Hii hua inawatafuna wanawake wengi maisha yao yote, wanakuja kushtuka washazaa watoto kwa Baba tofauti halafu analoose kote maana automatically anaemzalisha mara ya pili sidhani atakua na realy love kwake.
Unadhani wanafanya hivyo kwakupenda, Mimi nimiongoni tuliozaliwa baba tofauti kwa mama na tuko watano.
 
Hapana ndugu yangu udiondike kwa huyo mwanaume Kama wengi wanavyo kushauri ..... Kama una hufumiwa fresh acha kufikilia ngono ...jipe kitu Cha kufanya uwe bize kikuchoshe Hadi usahau kitombo..


Unaweza ukamuacha huyo halafu ukakutwa na kitu kizito kivhwani
 
Mimi nakashauri Anza kumbaka ....yaani mtegee kavua nguo astukie tu unanyonya Mike bila aibu na ikisimama jiingize zungusha uno lako kojoa bao zako then lala hata Kama yeye bado hajamwaga.


Hayo mengine yatajipa yenyewe ...wanao kuambia Anza upya wanakupoteza .....kurisiti mitihani sio kigezo Cha kupata division one .....unaweza ukazungusha Tena[emoji16][emoji16][emoji16] ...ohooo shauriyako
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.

Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.

Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.

Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.

Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.

Nahisi kudata nifanyeje?
Kumbe ulishauriwa hiyo 2017 now naona unajuta kweli kama witnessj alivyokwambiaga.
Screenshot_20211008-124746.jpg
 
Hakuna cha uportable wala ubonge. Mwanaume akikupenda atakupenda tu kwa hali yoyote labda uwe mchafu au ubadilike tabia ndo atakudis.
Na kama ni ubonge atakusaidia kupambana na hiyo hali kwa upendo urudi normal.
Tangu mwanzo mwanaume hakuwa na upendo...sijaona sehemu amesema wamefunga ndoa ( nirekebishe kama nimekosea) bali wamevutana tu kuishi wote
HAHAHAHHA jaman Demi , hivi kufunga ndoa ndio upendo eeeh

nahisi umeanza vzr ukamalizia vibaya,,,kuna ambao hawajafunga ndoa na wanapendana kuliko waliofunga,,,cha muhimu ni upendo kama ulivyotanguliza
 
Ndoa ina pande mbili kama shilingi
Jifunze kuishi katika nyakati zoto ukisikia shida na raha ndo ivo tena

Shida sio kulala na njaa pekee unayoya pitia kwa sasa ni mojawapo wa hizo shida zenyewe

Kitu cha mhimu ni kwamba kabla hujawashilikisha watu saana jambo hili chukua nafasi kubwa kumuomba Mungu wako kwani ndie alie waunganisha na ndie atakae watenganisha
 
Mtoto ana umri gani shosti? Unaonekana kwa vile wewe ulimpenda basi umekuwa so clingy...hebu relax, jipende, oga jisugue utakate, vaa vizuri nukia....usilee kizamani.
Baada ya hapo usiwe na habari nae, usimuulize, usimuhoji chochote...Ila usiache kusmile...men are hunters in nature, let him chase you....ringia uanamke wako, usikae kinyonge
yaani umenena vyema, akicheza atachapwa bakora na wanaume kibao mwisho wa siku watamuacha wote atabaki akisema laiti ningejua,,,pls bora ajue sasa hivi

Mimi napenda sana JF maana unapata suluhu ya matatizo bila gharama,,live long JF
 
Back
Top Bottom