Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
😀😀😀😀Malipo ni hapa hapa duniani. Kwanini uliwakataa waliokutongoza na kuanza kumtongoza mwanaume ambae hakupendi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Malipo ni hapa hapa duniani. Kwanini uliwakataa waliokutongoza na kuanza kumtongoza mwanaume ambae hakupendi.
Obest wishes mwamba pambana kama ulivopambana kumpata, ulipenda sifa zake au ulimpenda yeye. Karma is real and is a bitch, hio puss wape wenyewe waisandue. JiongezeIlikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.
Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.
Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.
Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.
Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.
Nahisi kudata nifanyeje?
Ni wakati wa mpito tu, huwa yanapita haya. Muhimu tu hakuna physical abuse, mimi sioni kama kuna tatizo kubwa la kumfanya kuondoka, sema siku hizi changamoto zinatatuliwa kwa "kuondoka"!You can't keep a man who does'nt want to be kept; utatelekezwa hapo uishie kuwapa watoto sonona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Kufunga ndoa sio lazima Upendo uwepo mnaweza tu ishi bila kufunga mkipenda. Ila kwa matabia hayo na ndoa hakuna unakaa ili iweje?HAHAHAHHA jaman Demi , hivi kufunga ndoa ndio upendo eeeh
nahisi umeanza vzr ukamalizia vibaya,,,kuna ambao hawajafunga ndoa na wanapendana kuliko waliofunga,,,cha muhimu ni upendo kama ulivyotanguliza
Ha ha ha kuna mtu kajitongozesha nini? Haina shida...just lover her backKuna mtu akisoma huu ushauri utaniponza rafiki
Malipo ni hapa hapa duniani. Kwanini uliwakataa waliokutongoza na kuanza kumtongoza mwanaume ambae hakupendi.
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.Ha ha ha kuna mtu kajitongozesha nini? Haina shida...just lover her back
Ni wakati wa mpito tu, huwa yanapita haya. Muhimu tu hakuna physical abuse, mimi sioni kama kuna tatizo kubwa la kumfanya kuondoka, sema siku hizi changamoto zinatatuliwa kwa "kuondoka"!
Wakae walee mtoto wao, jamaa anahudumia, sio ishu sana. Sioni hata sababu ya yeye kuondoka, kisa gapati dudu au?
Mi nikijua tu ananipenda nambana kwenye Kona ya mahaba hawezi kuchomoa utasikia tu "kenzy nini lakini..?" Mi nahoji si useme dear! Atajiumauma namkata jicho la "usiposema utakosa utamu!" Hapohapo tu utasikia "nakupenda kenzy!"..😁😁Tatizo lilianza ulipojitongozesha. Acha mwanaume akutake yeye mwanamke tulia uringeringe
Hahahaha havache kwa kunikumbusha mnduuWe msabato wa wapi na ushirikina Naka, si chedi bwana[emoji39][emoji39]
Mwe mwe kushauri mtu ni pesaMcheki iddimakengo instagram atakushauri vizuri.... 10,000 yako tu mama
Unataka ufanyiwe bure? Hela yenyewe elfu kumi tena ni unanunua kitabu tu then anakushauriMwe mwe kushauri mtu ni pesa
10000 we unaona ndogo mimi hata buku sitoi mahusiano ya siku hizi yana ushauriUnataka ufanyiwe bure? Hela yenyewe elfu kumi tena ni unanunua kitabu tu then anakushauri
Unadhani watu kama akina Mauki wanacharge 10000?
Huo ni msimamo wako... usiforce tufanane.10000 we unaona ndogo mimi hata buku sitoi mahusiano ya siku hizi yana ushauri
Yule kaka anatoa ushauri gani wa Maana hadi nimpe 10000 yangu wajinga hawataishaHuo ni msimamo wako... usiforce tufanane.
Amini unachoamini acha na wengine waamini wanachoamnini
Wewe utakua unaongea sana.Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.