Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Akili za usiku hizi, na hawa ndo waume zetu,,
 
Stuka!!!! Beba mwanao ufungashe virago vyako wala usimuage. Za kuambiwa changanya na zako.

 
Wanawake mnajisahau sana pindi mnapozaa mnapokuwa sasa n wazazi.
Ndio kimeumana hapo jamaa hana hamu amekupa likizo ulee mtoto,manyonyo imekuwa hotel ya mtoto full nje nje.
Ulele udada udada umepotea.
Vumilia kaa chin jipande coz hakutegemea kama baada ya kuzaa ndio hivyo
 
Huwa hayaishi bila sababu,kutakuwa kuna kitu tu.Inaweza kuwa una majibu ya kero,mvivu,mchafu,muongo,mbishi,mbinafsi,mshirikina,ameshakudaka na vimeseji au picha na ma ex wako n.k,saa nyingine hata mwili,inawezekana ulikuwa na mwili mdogo sasa hivi umejiachia umevimbiana lazima akuchoke,jichunguze utagundua tu una kasoro inamkera lkn anashindwa kukuweka wazi...
 
Ukweli huu hapa
 
Tatizo lilianzia hapo kwenye kupishana kauli na kujinunisha...
 
Dah kwa hiyo jamaa hana time na mbususu yako? Pole sana hapo chakufanya ni kukubali tuu jamaa hakupendi wee bega virago vyako katafute mwanaume mwengine tuu.
 


Umemaliza kila kitu mkuu, uzi ufungwe tuu.

Unforgettable
 
Tunaweza maliza hata mwez hatujasex na nikimuuliza sababu kibao,
Bt mapenz hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu
Nahisi kudata nifanyeje???

Tatizo lake ana Low Libido, na hili tatizo huongezeka kadri umri unavyozidi kuongezeka.

Hii hali Low Libido ni tatizo la kiafya kama matatizo mengine ya kiafya, na hutokana na matatizo ya ki_hormone zaidi, licha ya kuwepo kwa sababu zingine kadha wa kadha.

Ni jukumu lako kutafuta ufumbuzi.

Kuna njia za muda mfupi na njia za muda mrefu ili kumuweka sawa na akawa anakuhitaji mara kwa mara.

Kazi kwako, fanyia kazi hili swala.


Na ukisha fanikiwa kutatua tatizo, mtafurahia maisha hadi uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…