Mimi uwa ashauri sana watu kurudi africa baada ya mafanikio,kdogo ulicho nacho marekani ni kikubwa africa,mfano una biashara ya $ laki moja ni biashara ya kawaida sana ila kwa level ya africa ni pesa nyingi sana na ni biashara vikubwa.
Mimi uwa napenda sana maisha ya kuishi na kusaidia watu kama vile ajira na maitaji fulani kwa level ya marekani sina uwezo huo ila kwa africa naweza kufanya vtu vikubwa na nikalitakasa jina langi.
Marekani hakuna jipya unaloweza kulifanya maana kila kitu wamemaliza yaani labda utakachojifunza kutoka kwako na ww ukakifanye africa hii ndo heshima kwangu.
Ila ukiendelea kuishi uku,utapata kila unachokita,magari,maisha mazuri,utakula ila utaendelea tu kuwa mtu wa kawaida maana mpaka ujulikane ni mziki mzito tofauti na nchi zetu za africa.
Kwaiyo personality yangu na maisha ya africa vinaendana.
Napenda mtu urudi na kuwaeleza kile ulichojifunza na uichoona na sisi tukafanya cha kwetu.
Maisha tu ndo yanatufanya tunganganie nchi za wezetu ila mimi napenda kuona africa inaendelea,kwaiyo wale wanaoishi nje na kujifunza wana nguvu kubwa ya kuendeleza maana wanajigunze vtu vingi tofauti,.
Maana nchi kama marekani sijuwi nini wamebakiza,kwaiyo kuishi kwako hapa ni fursa kwa bara letu la africa,tunatakiwa turudi kushare tulinacho