Acha shule fanya biashara

Acha shule fanya biashara

Vizuri sana madam watanzania bana wanaangalia wahindi wa kariakoo ndio wanafikiri india nzima wahindi wapo hivyo.
Wahindi ni wajasiliamali dunia nzima,fuatilia mkuu,India bado ni developing country ila huwezi ilinganisha na Tanzania mbali sana,Wanatupa mpaka misaada.
 
Kwani Kuwekeza Huku Lazima Urudi Ukae Huku ?

Mimi uwa ashauri sana watu kurudi africa baada ya mafanikio,kdogo ulicho nacho marekani ni kikubwa africa,mfano una biashara ya $ laki moja ni biashara ya kawaida sana ila kwa level ya africa ni pesa nyingi sana na ni biashara vikubwa.
Mimi uwa napenda sana maisha ya kuishi na kusaidia watu kama vile ajira na maitaji fulani kwa level ya marekani sina uwezo huo ila kwa africa naweza kufanya vtu vikubwa na nikalitakasa jina langi.
Marekani hakuna jipya unaloweza kulifanya maana kila kitu wamemaliza yaani labda utakachojifunza kutoka kwako na ww ukakifanye africa hii ndo heshima kwangu.
Ila ukiendelea kuishi uku,utapata kila unachokita,magari,maisha mazuri,utakula ila utaendelea tu kuwa mtu wa kawaida maana mpaka ujulikane ni mziki mzito tofauti na nchi zetu za africa.
Kwaiyo personality yangu na maisha ya africa vinaendana.
Napenda mtu urudi na kuwaeleza kile ulichojifunza na uichoona na sisi tukafanya cha kwetu.
Maisha tu ndo yanatufanya tunganganie nchi za wezetu ila mimi napenda kuona africa inaendelea,kwaiyo wale wanaoishi nje na kujifunza wana nguvu kubwa ya kuendeleza maana wanajigunze vtu vingi tofauti,.
Maana nchi kama marekani sijuwi nini wamebakiza,kwaiyo kuishi kwako hapa ni fursa kwa bara letu la africa,tunatakiwa turudi kushare tulinacho
 
Ulichoandika hakieleweki!!!

Tuseme tu ule ukweli!!
 
Fanya kitu ambacho roho na moyo wako inapenda

Focus kwenye kutimiza dreams zako
Kama ulikuwa na dream ya kupata elimu ya kitu fulan go mzee kalee pindi hata kama ita take 200 years as long as moyo wako uko willing😂😂
 
Tuwe tunasoma na kuelewa, ni civil servant anataka akajiendeleze( Std 7 umeitoa uzi gani ilihali std 7 walifukuzwa?).
Kama umeishia darasa la saba tu nakushauri utafute muda ukasome

Ila kama umeishia form 4, huko mbele hakuna jipya sana litakalokusaidia kwenye kile unachokifanya
Mimi nilimaliza chuo nimeajiriwa kampuni mbili, ila elimu niliyokuwa na apply kazini ni ya form 4 tu ukiacha zile training ambazo hata mhitimu wa form 4 mwenye kichwa kizuri angezielewa

Nimejiajiri na bado sija apply elimu yangu ya form 6 au chuo, japo inaniwezesha kuulewa mambo mengi kwenye habari na matukio ya kila siku duniani tofauti na ningeishia form 4
e
 
Fanya kitu ambacho roho na moyo wako inapenda

Focus kwenye kutimiza dreams zako
Kama ulikuwa na dream ya kupata elimu ya kitu fulan go mzee kalee pindi hata kama ita take 200 years as long as moyo wako uko willing😂😂
😂😂😂
 
Umri wa mtu kuanza biashara kubwa ni miaka 24 na ndio umri wa wengi kamaliza digrii.Ushauri wangu wakati mtu anaendeleaje kukua awe masomoni Hadi hiyo miaka 24 baada ya happy ruksa aingie kwenye biashara.Anakuwa na ufahamu mkubwa na umri.pia mkubwa wa kumwezesha kufanya mambo yake

Naona unahangaika sana kutoa mawazo yako lakini kitu ambacho haukijuwi School education is useless
 
Education is more valuable than business/money in long run.Hilo tambua kwanza
Elimu sio tatizo hata kidogo hata Katika kufanya Biashara inatumika elimu tena kubwa sana(negotiation,tax laws,) Business is the science hivyo ni vizuri ukawa na Elimu ya kutosha kuhusu uwanda huo.

Kama elimu sio tatizo Kama tulivyoona hapo juu sasa kwanini una unauliza kuhusu kwenda kupata elimu?Si kila elimu inafaa kuipata hasa kulingana na mahitaji ya muhusika,angalia mahitaji/malengo/ndoto zako kabla ya kuchagua aina ya elimu unayotaka kuiweka kichwani.

Unajuwa wengi wetu tunachanganya kuhusu Education and School/College.Hakuna uhusiano wa aina yoyote ile kati ya elimu na Shule/Chuo.Baadhi yetu tunadhani ili upate elimu inahitaji ukae darasani na kukariri makaratasi na baadae upate ka degree kako,kumbe si kweli kabisa.Elimu inajitegemea bila hata Shule/chuo.

Kuna mtu mmoja mwelevu alipata kusema"Education is private matter between the person and the world of knowledge and experience,and has little to do with school or college.

Kwa upande wangu najutia sana muda niliopoteza kwa kupata elimu hasa hii tunayoita elimu ya juu.
Elimu yangu ya kidato Cha 4 ingetosha kabisa kabla ya sijaingia katika ulimwengu wa experience.

Usiende chuo na ukaacha Biashara yako ni ujinga wa Hali ya juu ila usiache kupata Elimu sababu Biashara inahitaji elimu.
 
Muhimu wapi? Ukisha jua kusoma na kuandika na kuongea hivi kuna cha zaidi?
Shida ya elimu ya Chuo ukishaipata unajiona kama ni kitu kirahisi na kisicho na muhimu.

Ila kimsingi elimu ya chuo ni muhimu mno hata ukisoma diploma tu ya evening programme you wont be the same.

Cha muhimu usifunge biashara ili uende kusoma, do them all.
 
Hahaa Degree ya nini? Aisee nimechekea sana leo. Kwamba asome angalau Degree 1 ndo aanze michakato ya biashara.

Mtu unatakiwa usome katika kiwango anagalao cha degree moja ndipo uanze michakato ya biashara Kama unaona unakipaji nayo, maana biashara Ni kipaji pia, sio kila mtu anaweza kufanya biashara.
Kiwango cha wastani wa degree kitakusaidi kufanya biashara kitaalamu zaidi pia kitakusaidi kuweza kuwasiliana na taasisi za kifedha kwa urahisi zaidi ili kuinua biashara yako au kupata wadau bora wa kukuza biashara yako.
Kwa mfano Utakuwa na uelewa wa kutosha na kuweza kufanya biashara za hisa au hatifungate bila shida yoyote.
Usije ukaishia darasa la Saba au Elimu ya Sekondari halafu ukakataa kupata Elimu ya juu.
Anangalao uwe na degree yoyote Ile.
 
Kwani Darasa la 7 hawezi fanya biashara? Mbona na Matajiri wakubwa mitaani? Katika Wafanya biashara ninao interact nao asilimia 99 ni Darasa la saba na wapo ambao hata shule hawakuenda. Una maoni gani hapo
Kama umeishia darasa la saba tu nakushauri utafute muda ukasome

Ila kama umeishia form 4, huko mbele hakuna jipya sana litakalokusaidia kwenye kile unachokifanya
Mimi nilimaliza chuo nimeajiriwa kampuni mbili, ila elimu niliyokuwa na apply kazini ni ya form 4 tu ukiacha zile training ambazo hata mhitimu wa form 4 mwenye kichwa kizuri angezielewa

Nimejiajiri na bado sija apply elimu yangu ya form 6 au chuo, japo inaniwezesha kuulewa mambo mengi kwenye habari na matukio ya kila siku duniani tofauti na ningeishia form 4
 
Huhitaji elimu ya Aina yoyote ile kuwa mjasirimali ila unahitaji elimu kupanua biashara yako.

Watu wanachanganya mambo mawili hapa.

1. Kuwa mjasirimali au ku initiate Idea

2. Kuendeleza biashara yako.

Kwenye kuwa mjasiriamali haihitajiki elimu jamani make ile ni kama nguvu fulani ni spirt power zinazo fanya kazi.

Ila ukitaka sasa kupanua biashara yako ikue kubwa unahitaji elimu labda Language, labda Masoko na kadhalika.

Sasa watu huwa tunachanganya sana vitu viwili tofauti hapa.

Sasa kwenye kuendeleza biashara hata kama umeishia Darasa la 7 unaweza ajiri watu.

Arusha hapa wakina Marehemu Mrema.wa Impala sijui kama alimaliza shule ya msingi RIP ila biashara yake ya Mahoteli ilikiwa unaenda kwa sababu aliajiri watu.

Kuna mzee anamiliki englisha Medium yeye mwenyewe Kingereza hakipandi ila ana walimu na watumishi wengine ndo wanao endesha.

TUACHE UOGA KWENYE UJASIRIMALI HAIHITAJIKI ELIMU.
 
Kwani Darasa la 7 hawezi fanya biashara? Mbona na Matajiri wakubwa mitaani? Katika Wafanya biashara ninao interact nao asilimia 99 ni Darasa la saba na wapo ambao hata shule hawakuenda. Una maoni gani hapo
Darasa la saba hata kama ni tajiri elimu ndogo, ungeweza kuongeza na ku manage huo utajiri kwa kuongeza maarifa zaidi, sio lazima hata form 4, unaweza kuiongezea maarifa hata kwa kozi mbalimbali tu

Hata hivyo elimu sio kwa ajili ya kukupatia hela tu, just kuelewa mambo na udadisi ni mambo mazuri pia
Binadamu ambaye sio mdadisi ana matatizo

Mi najiffunzaga mambo mengi ambayo hayahusini na ninachokifanya na wala hayataniingizia hela, mfano naweza kujifunza historia ya China, sitakuwa balozi wa China, nikajifunza Bunduki inavyofanya kazi, mimi sitarajii kuajiriwa kwenye kiwanda cha bunduki, nikajifunza labda kuhusu maisha ya siafu wala sihusiki na wadudu, nikajifunza labda siasa za Uingereza haya wala hayahusianai na mimi wala sitarajii yataniingizia hela ni udadisi wa kujua mambo tu
 
Ni bora tukaenda na mifano basi. Wafanya biashara wengi wa Tanzania ni Darasa la saba ukitoa wahindi hao.

Je wamepiga hatua au la?
Darasa la saba hata kama ni tajiri elimu ndogo, ungeweza kuongeza na ku manage huo utajiri kwa kuongeza maarifa zaidi, sio lazima hata form 4, unaweza kuiongezea maarifa hata kwa kozi mbalimbali tu

Hata hivyo elimu sio kwa ajili ya kukupatia hela tu, just kuelewa mambo na udadisi ni mambo mazuri pia
Binadamu ambaye sio mdadisi ana matatizo

Mi najiffunzaga mambo mengi ambayo hayahusini na ninachokifanya na wala hayataniingizia hela, mfano naweza kujifunza historia ya China, sitakuwa balozi wa China, nikajifunza Bunduki inavyofanya kazi, mimi sitarajii kuajiriwa kwenye kiwanda cha bunduki, nikajifunza labda kuhusu maisha ya siafu wala sihusiki na wadudu, nikajifunza labda siasa za Uingereza haya wala hayahusianai na mimi wala sitarajii yataniingizia hela ni udadisi wa kujua mambo tu
 
Shule sio majengo wala vyeti..., hata yule anayekwambia wapi mzigo unapatikana ni shule kwahio usiache hata siku moja kujifunza maisha yako yote...., masuala ya vyeti n.k. ni status ambayo unaweza kuitumia pia kuingiza kipato..
 
Back
Top Bottom