Acha Unafiki ni Nguvu Kazi ipi unayoitetea hapa wakati walipokulilia na Kodi Kero na Kodi Komoa zako uliwajibu Kidharau wahame wakaishi Burundi?

Acha Unafiki ni Nguvu Kazi ipi unayoitetea hapa wakati walipokulilia na Kodi Kero na Kodi Komoa zako uliwajibu Kidharau wahame wakaishi Burundi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema jinamizi la ajali nchini limezidi kuwa kero huku kutofuata sheria akitaja mojawapo wa chanzo kikuu, huku akiwataka maofisa usalama barabarani kutoangalia namba za gari ni la Serikali au binafsi sheria itumike sawa kwa wote.

“Madhara yake tunapoteza nguvu kazi ya nchi yetu kutokanana ajali za barabarani ambazo zinatuondolea watu wanaotegemewa katika jamii zetu, wakati mwingine kwa uzembe unaoweza kuepukika,” amesema.

Dk Mwigulu amebainisha hayo leo Juni 13, 2024 wakati akiwasilisha bungeni bajeti ya Serikali kwa mwaka fedha 2024/ 2025.

Chanzo: mwananchi_official

Kwahiyo kwa kuona Mwakani ni Uchaguzi Mkuu ndiyo leo unajifanya Kutupenda ukidhani tutasahau ulichotuambia?
 
Back
Top Bottom