DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa hio huyu anasema UONGO? Mboni mnapenda kutetea ujinga? Wenzako wanakwambia maji hakuna wewe unasema maji yapo?
Kama unaweza kufua na nguo chooni ina maana kuna maji.

Hata UDOM maji yakitoka hukuti choo kichafu,,na nguo huwa zinafuliwa chooni.

Yaani maji yakitoka tu hata wiki moja...hukuti uchafu chooni.
 
mai god🙆‍♂️🤦‍♂️
 
Mtalalamika na maji bado hayatoki.

Plumbing system mbovu hazipandishi maji kwenye mabomba ya hostel.

Haya sasa
Wewe ndo mwanafunzi unasoma UDOM muda huo,,, Utafanyaje??


Maji hawajaweka, Utafanyaje?
Utajiharishia bila kwenda na maji chooni?
Utaenda darasani bila kuoga?
Utaenda na wewe kuweka kinyesi kwenye choo ambacho tayari kina kinyesi?
 
Kwa hio huyu anasema UONGO? Mboni mnapenda kutetea ujinga? Wenzako wanakwambia maji hakuna wewe unasema maji yapo?
Hayo maji kama yamewekwa basi ni miaka hii 2021 na kuendelea
Almost all colleges maji yanasumbua

Ukiingia Hostels za kike utaona madiaba, ndoo na madumu ya maji yamejaa,pamoja na kamba za kuvutia maji.
Hostel za kiume wanaishi kibabe ndo hizo ukipita koridoni utasikia harufu za vinyesi na mikojo.
 
Kwa hio huyu anasema UONGO? Mboni mnapenda kutetea ujinga? Wenzako wanakwambia maji hakuna wewe unasema maji yapo?
Mimi nimesoma hapo miaka 3. Pengine tatizo la maji lilikuja baada ya mimi kuondoka au lilikua college nyingine. Mimi nimekataa kauli ya kujumhisha kua Udom ina vyoo vichafu
 
Maji hamna halafu unakutana na wanachuo hawajui kabisa ustarabu wa chooni. Wao kuacha kitu kinaelea siyo ishu, wanawake kwa wanaume.
Sio poa matundu ya choo yameziba kabisa yani hata maintenance ya kuzibua vyoo Hakuna daah this is hilarious for sure
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wana UDOM mnaitwaa huku kuna jambo lenu.
Nimecheka had tumbo linauma, woiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale udsm watu walikua wanakunya ovyo yaani mimavi mavi chooni mikojo ime trend KILA sehemu
 
Sio UDOM tu hata hapo UD kuna vyoo inabidi uvute pumzi ndio uingie kukojoa. Ukitoka unanuka harufu ya choo

Kuna hall 5 upande wa vyoo ilikuwa ni hatari kwa afya, maji ya mavi yalikuwa yanatiririka hovyohovyo

Sijajua miaka hii hali ikoje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikua natafuta comment yakoo, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikakanyage Ili nigundue nakuuliza,maphilosopher wote kina Aristotle,Plato, Socrates, Immanuel Kant ,Karl Max walishafanya Yao,Sasa Habiba mie wa watu nitagundua lipi jipya?ni kama we mwenzangu Umegundua Nini huko chuo zaidi ya Plagiarism?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie nisingeweza kwa kweli, khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…