MillionaireMan
Senior Member
- Jul 20, 2022
- 156
- 237
Waafrika watu wa hovyo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Therefore....nilichoelewa sasa baada ya maelezo mbalimbali yaliyotolewa hapa, ni kuwa
》chuoni kuna maji - ni maji ya kisima, unakinga na ndoo unasepa na maji chooni.
》wasomi wanaona uvivu/aibu/hawapo tayari kuingia chooni wakiwa wamebeba ndoo ya maji mkononi.
》wasomi wameendelea kutumia vyoo pasipo kutumia maji kwa sababu maji ni ya kubeba mkononi kutoka kule nje.
kama haya ni ya kweli basi kuna shida kubwa vichwani kwa hawa wasomi coz hawazingatii kanuni ya msingi ya usafi wa mwili. maana kwa lugha rahisi hawa muda mwingi wanatembea na ma.vi mat.ako.ni (hakuna lugha rahisi zaidi ya hii).
ni kweli uongozi unapaswa kuweka maji humo vyooni lakini bado kundi la wasomi halitegemewi kufanya mambo ya ajabu kama haya mithili ya wanyama au watu wasioenda shule eti kwa kisingizio cha maji kuwa nje ya choo.
hapo tatizo pia ni ublazameni na usistaduu. mtu anaona soni kubeba ndoo ataonwa na fulani. anachagua kwenda kujipaka ma.vi atembee nayo! ajabu sana hii.
hawa wasomi waende vyuo vingine waone wenzao walivyonyooka kwenye hayo mambo ya usafi.
Kwenye suala la vyoo ni kipengele kwa kweli, enzi za kujitafuta niliwahi kujichimbia hapo UDOM wakati najipanga na resi za ile ofisi iliyopo pale Asha Rose MigiroNimehitimu chuo kikuu cha dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha.
Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada na kutimiza majukumu yao mengine ila nashangaa Sana kwanini uongozi hauzingatiii maeneo nyeti Kama maliwatoni.
Ukiwa mgeni ukaanza kutembea kwenye viunga mbalimbali kwa nje utavutiwa na majengo lakini ukiingia kwenye vyoo vya hosteli hali ni mbaya Sana. Yaani hadi hosteli zinanuka mikojo na mavimavi tu. Hii sio sawa hata kidogo na ni aibu kwa chuo kikubwa kama kile kushindwa kuhimili na kukarabati vyoo mara kwa mara.
Ukienda chooni kwanza sahau kuhusu kukuta maji, yaani maji ni hadi utoke hosteli uende kuchota mita kadhaa toka umbali wa hosteli zilipo upande ngazi na ndoo yako ndio ukanye au ukafanye mengine. Nahisi dada zetu huwa wanapata kadhia sana kuhusu usafi wao binafsi wanapotumia vyoo.
UDOM mnakera aisee, mmekanusha la kunguni na hili najua mtakanusha ila chuo chenu kina vyoo VICHAFU
"We embracing knowledge" knowledge my foot wakati hata knowledge ya kukarabati vyoo hamna.
Unaona sasa,Hicho chuo ni kipya intake ya kwanza ni 2008 lakin leo kinazidiwa na Sua chuo cha mwaka 1984 vyoo visafi mpaka unafua nguo
UONGO tembea uone, dunia imebadirika mkuuHakuna sehemu ya umma yenye choo kisafi TZ nzima hakuna. Hata Ikulu itakua na vyoo vichafu.
Miundombinu miundombinu miundombinu, mifumo ya maji taka na mifumo ya maji safi, choo bila maji ni balaa na maji sio kizibo maji inabidi yawe ya kutosha na ya uhakika na sio unawaachia wao wanafunzi tu wafanye usafi wao wanachojua kuna watu wa usafi wameajiriwa na Chuo kuwe na mtu anaangalia usafi wa vyoo asubuhi, mchana na usiku ndio wanavyofanya vyuo vingine na maeneo tofauti hata kwenye vituo daladala kwenye vyoo vya kulipia usafi unafanyika mda wote vyoo vinakua visafi kuna watu wa usafi wanasafisha kukiwa na hali tofauti na wanalipwa kufanya usafi hawafanyi bure km kuna maboresho wanafanya maboresho haraka iwezekanavyoKwenye suala la vyoo ni kipengele kwa kweli, enzi za kujitafuta niliwahi kujichimbia hapo UDOM wakati najipanga na resi za ile ofisi iliyopo pale Asha Rose Migiro
Aisee vyoo vya hiko chuo ilikuwa ni balaa, ukiacha kutokuwa na maji, unakuta mzigo umesheni ni hatari, sinki zima limeenea kifusi tu na sio kimoja vyoo vyote!! Mpaka unajiuliza hawa jamaa huwa wanakula nini. . . Maana mzigo kama wa tembo
Ila sasa utafanyeje, warekebishe vyoo vyao na mifumo ya maji
Ndio maana wanaajiriwa watu wa usafi wewe uwe muelewa hakuna public toilet ambayo watu wanasafisha Choo wenyewe watu wanasafishiwa na wale walioajiriwa kufanya usafi wa vyoo na wanakua around muda wote kuangalia mazingira ya usafi wa vyoo na bafu, sasa unaambiwa SUA ya mwaka 1984 Ina vyoo visafi kuliko UDOM ya 2007 unafikiri tatizo lipo wapi hapo? SUA na UDOM vyote si vyuo na vyote si vina wanafunzi au wanafunzi wa SUA wanatoka Burundi? Kwanini SUA iwe na vyoo visafi Ila UDOM iwe na vyoo vichafu?Sio baadhi ni majority wachafu mbwa.
Ndio maana kuna watu wameajiriwa kwa ajili ya kufanya usafi kwenye public toilets zote,vyoo vyote vya public tanzania nzima huwa vinajengwa vizuri sana ila watumiaji ni wachafu na waharibifu, ustaarabu kwa mtanzania huwa ni shida sana, watanzania wengi wanaharibu miundo mbinu bila sababu, wengine wanakojoa kwenye chumpa za maji na kutupa barabarani hii uliona wapi nchi zingine?
Ni kweli Mkuu, na sio TZ tu, sehemu yoyote yenye watu weusi ni tatizo dunianiHakuna sehemu ya umma yenye choo kisafi TZ nzima hakuna. Hata Ikulu itakua na vyoo vichafu.
Sio zote fika kituo cha daladala Segerea Mwisho waambie wakuelekeze Chooni kuna Choo Cha kulipia pale nenda chooni mule ukashangae wamekuwekea hadi sanitizer, usiishi kwa kukaririshwa ujinga labda ukaanze kuchafua wewe na ukichafua wapo wafanya usafi watasafisha ndani ya mda mfupiPublic toilets zote ni CHAFU
Hilo la watu kukojoa kwenye chupa za maji nililishuhudia live mwaka 2021.vyoo vyote vya public tanzania nzima huwa vinajengwa vizuri sana ila watumiaji ni wachafu na waharibifu, ustaarabu kwa mtanzania huwa ni shida sana, watanzania wengi wanaharibu miundo mbinu bila sababu, wengine wanakojoa kwenye chumpa za maji na kutupa barabarani hii uliona wapi nchi zingine?
UONGO tembea uone, dunia imebadirika mkuu
Km umesharudi USA njoo nikushike mkono nikupeleke ukashuhudie utofauti,Wapi? Okoa nguvu na muda sema wapi
Hawajaja kuchota maji visimani wee mpuuzi!! Watasoma saa ngapi?Chuo kishughulikie tatizo la maji na miundombinu yake.Kajifunzeni Udsm,wanaelewana na dawasco,wanaelewanq na tanesco,kwasababu ya business process ya chuo lazima maji yawepo vizuri,lazima umeme uwepo vizuri.Fanya hivyo udom acha kujiteteaNadhani ingekuwa busara muwabebe hao wanafunzi wa Udom wakatembelee vyoo vya vyuo vingine.
Na wafundishwe usafi.. na waache uvivu wa kubeba maji kisimani.
Udom Kuna shida ya maji
Hivyo maji huchotwa kisimani, mabomba ndani ya hostel hayatoi maji.
Sasa mtu hataki kujitesa kuchota maji, anaacha mzigo wake mzima mzima .. na tena anavizia muda ile usafi umemalizika .
Ukiwaambia tatizo ni UONGOZI wanakuja juu hao balaa, yaan wao wanajiona wapo sawa tu hawana tatizo lolote hawaumizi vichwa wanafikisha vipi maji chooni yaani wanashindwa kufikisha maji kwenye vyoo karne hii wanashindwa kujenga miundombinu ya maji safi na salama kwenye vyoo tena kwa kutumia Maji hayo hayo ya visima maji yatavutwa na mota kwenda kwenye matank ya vyoo km wanavyofanya vyuo vingine, wao wanashindwa nini au akili fupi?Hawajaja kuchota maji visimani wee mpuuzi!! Watasoma saa ngapi?Chuo kishughulikie tatizo la maji na miundombinu yake.Kajifunzeni Udsm,wanaelewana na dawasco,wanaelewanq na tanesco,kwasababu ya business process ya chuo lazima maji yawepo vizuri,lazima umeme uwepo vizuri.Fanya hivyo udom acha kujitetea
Hii ni public toilet umeona ilivyo Safi? Itabidi kila public toilet ntakayoingia nipige picha niweke humu maana watu hawaelewi mpaka waoneMkuu, nimesema hivyo kwa uzoefu. Nilikuwepo UDOM kuanzia 2008 - 2011. Ingawa usafi ulikuwa ukifanyika kila siku, hilo halikuzuia vyoo kuchafuliwa. Vingeweza kusafishwa Jioni, lakini kufikia kesho yake Asubuhi, vikawa vimeshatumika ndivyo sivyo.
Ukiacha ya UDOM, nimeshashuhudia vituko vilivyofanywa na watu kazini kwa kutumia choo na kukiacha kikiwa hakijaflashiwa, n.k., tena kwa siku za hivi karibuni. Halafu sasa waliofanya hivyo ni watu ambao usingeweza kuamini:
1. Amesoma
2. Mtu mzima
3. Kiongozi kazini
Kwa mwaka huu tu, nimeshashughulika na kesi kama nne nilizofikishiwa na wafanya usafi mahali ninakofanyia kazi. Na ujue hizo nne ni kesi zenye ushahidi unaothibitisha walioufanya huo upuuzi.
Hao wachafuzi wa vyoo hawakuwa raia wa ng'ambo, bali Watanzania, kama ilivyo kwa wanafunzi wa UDOM. Hiyo ni sababu mojawapo inayonifanya niamini kuwa Watanzania bado wapo nyuma sana katika ustaarabu wa kutumia vyoo. Ninakubaliana na mtu mmoja ambaye alishawahi kusema kuwa VYOO VILIKUJA KWA NDEGE, kwa hiyo havijazoeleka kwa Watanzania wengi.
Angalia picha mojawapo ya vyoo vya Kitanzania. Kwa nini kaandika hivyo? Unakionaje? Kingekuwaje kama kingekuwa kinatunzwa na kutumiwa na Wazungu lakini papo hapo kilipo?
Vyuo vingine maji yamejaa vyooni wamewekewa mpaka mapipa ya plastic na majaba majaba haya majaba unayoyajua wamejaziwa maji ya akiba chooni hakuna muda wa kuhangaika kubeba mandoo, UDOM wanashindwa nini kufanya hivyo?hawa wasomi waende vyuo vingine waone wenzao walivyonyooka kwenye hayo mambo ya usafi.