The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Dokta tulia amekuambia utulie kijana swala la vyoo hata yeye wakati anafundisha alikuwa analijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hapo tatizo sio wanafunzi tatizo hapo ni UONGOZI wa Chuo, JamiiForums emu na hii habari iende viral yule mama ajibu na hiliNadhani ingekuwa busara muwabebe hao wanafunzi wa Udom wakatembelee vyoo vya vyuo vingine.
Na wafundishwe usafi.. na waache uvivu wa kubeba maji kisimani.
Udom Kuna shida ya maji
Hivyo maji huchotwa kisimani, mabomba ndani ya hostel hayatoi maji.
Sasa mtu hataki kujitesa kuchota maji, anaacha mzigo wake mzima mzima .. na tena anavizia muda ile usafi umemalizika .
Naifahamu UDOM ya miaka ile, sijui ya sasa.Hilo suala sio la watanzania, ushaelewa hilo suala ni la uongozi wa Chuo wameajiri watu wa kufanya usafi wa vyoo kwanini vyoo vinakua vichafu, unasemaje watanzania kufanyaje?
Kwa hio na yeye alikua anajisaidia juu ya binyesi chooni au sio? Mnatetea ujinga?Dokta tulia amekuambia utulie kijana swala la vyoo hata yeye wakati anafundisha alikuwa analijua
Mwanzo umejibu vizuri Sasa hivi unajibu ovyo nimekwambia tembea tembea tembea kuna vyuo ukipelekwa chooni utaduwaa choo kilivyopendeza Sanitizer zimejaa ukimaliza unaosha mikono shwaa unaenda, umesema wa huko youdom inabidi watembezwe vyuo vingine wajifunze hapa ndio ukisema la maana, Mimi nasemaje uongozi ndio una shida, kuna Chuo kimoja nilianzisha varangati suala la maji nikaanza kuchunguzwa Mimi ni nani mboni nataka kumletea msala mkuu wa ChuoNakifahamu UDOM ya miaka ile, sijui ya sasa.
Nikishaishi pale kwa miaka mitatu, zaidi ya miaka kumi iliyopita.
Kulikuwa na wafanya usafi wa kampuni iliyopewa mkataba wa kutoa huduma ya usafi. Pamoja na kuwa walikuwa wanafanya usafi kila siku, bado vyoo bilikuwa vikichafuliwa.
Tatizo lipo kwa "Watanzania"
Hivi unafikiri wangeondolewa Watanzania wote na Waafrika wote hapo UDOM, halafu wakawekwa Wazungu badala yake, unafikiri tatizo la uchafu lingeendelea kuwepo?
Youdom ipo wapi Somalia au Sudan? Mboni vyuo vingine vina vyoo visafi?Endelea kuchanganyikiwa Mkuu kama ukitaka.
Maji kisimani wanashindwa kuweka tank kubwa juu wanafunga motor wakasupply maji vyooni, nilitoa hili wazo Chuo fulani wakalifanyia kazi Mambo yakawa mazuri ingawa nilikosana na mkuu wa Chuo, weka tank juu kwenye kila sehemu ya choo vuta mipira ya maji kutoka kwenye kisima funga motor pandisha maji kwenye matank mboni vyuo vingine wanafanya hivi Youdom wanashindwa nini?Lichuo likubwa lenye eneo kubwa hivyo na vyoo vingi wanashindwa kuvihudumia na si ajabu havitumiki sana maana ni vingi ila ni uchafu tu.
Vyuo vidogo kama IFM(dar) na TIA(dar) vyoo vyao wanajitahidi mno. Pamoja na ule udogo wa chuo, wingi wa wanafunzi zaidi ya eneo lakini vyoo mda mwingi ni visafi na maji yapo vyooni 24/7.
Wewe unaonekana hata Chuo hujafika, hujui unachokisemaDah,vyoo mchafue wenyewe,halafu lawama muipe serikali!maajabu
Nenda NIT hapo ukifika waambie wakuelekeze Chooni ukashangae kidogo vyoo vilivyo visafi km wanafunzi hawaingii chooni maana hamuelewi mpaka muoneDah,vyoo mchafue wenyewe,halafu lawama muipe serikali!maajabu
Aaah mi nikakague vyoo vya kazi gani?huko UDOM mjitafakari,mara kunguni mara vyoo vichafuNenda NIT hapo ukifika waambie wakuelekeze Chooni ukashangae kidogo vyoo vilivyo visafi km wanafunzi hawaingii chooni maana hamuelewi mpaka muone
Simply waweke majiBasi hapo tatizo sio wanafunzi tatizo hapo ni UONGOZI wa Chuo, JamiiForums emu na hii habari iende viral yule mama ajibu na hili
Nimekwambia hauelewi mpaka uone, usiseme wanalaumu Ila waone wajifunze mboni vyuo vingine kuna vyoo visafi na wanafunzi hawalalamikii?Aaah mi nikakague vyoo vya kazi gani?huko UDOM mjitafakari,mara kunguni mara vyoo vichafu
Kwa sababu kuna majiYoudom ipo wapi Somalia au Sudan? Mboni vyuo vingine vina vyoo visafi?
Vivyo hivyo mkuu.mkuu shule zipi izo? kayumba nyingi wanafunzi zaidi ya 700 matundu ya choo ya kuhesabu.
Uko sahihi hata vingi vya public ni vichafu ustaarabu na ushamba piaHicho ni choo cha stendi ya mabasi ya Katoro mkoani Geita. Unafikiri ni kwa nini wameamua kuandika hivyo?
Inawezekana Uongozi wa UDOM una mapungufu yake, lakini kwa vyoo kuwa vichafu si la uongozi wa Chuo pekee.
Suala la usafi wa vyoo bado ni changamoto kubwa sana Tanzania. Tabia ya usafi bado haijafikia viwango sahihi.
Uko sahihi hata vingi vya public ni vichafu ustaarabu na ushamba piaHicho ni choo cha stendi ya mabasi ya Katoro mkoani Geita. Unafikiri ni kwa nini wameamua kuandika hivyo?
Inawezekana Uongozi wa UDOM una mapungufu yake, lakini kwa vyoo kuwa vichafu si la uongozi wa Chuo pekee.
Suala la usafi wa vyoo bado ni changamoto kubwa sana Tanzania. Tabia ya usafi bado haijafikia viwango sahihi.
Sio baadhi ni majority wachafu mbwa.Hapo tatizo ni nyie watumiaji kama hamjiheshimu ,mnakunya kunya ovyo juu ya masink,unajisaidia humwagi maji/flash
Mwanachuo analewa anatapikia chooni hasafishi
Unategemea nani aje akufanyie usafi ?
Baadhi ya wanavyuo chuoni ni wachafu sana,hawana ustaarabu
Unachoongea sio masihara,nilienda Kondoa Mmang'ati katoka chooni naingia nakuta zigo hinhaa...we nkapiga kelele ,mwenye gesti alikua karibu akaja fastaaaa....akaniambia "shhhhhhhhh Hawa hawajui vyoo vya sink kaa kimya nshawazoea Hawa wateja Wangu wa maporini Huko"akanielekeza choo kingine kile akaenda safisha mwenyeweHawa wanafunzi wengi wao ni watoto wetu sisi wakulima uku. sisi uku vyoo yetu ni vya shimo vile vya kulenga.
Hayo mambo ya choo cha mzungu wameyakuta ukouko chuo na bahati mbaya mambo aya hakuna anaekufundisha, utafanya unavoweza au ulivozoea uko kwenu.
inabidi lazma wafundishwe matumizi (wapende wasipende) vinginevo iyo shida haiwezi kuisha.
uko maofisini kwenyewe tu kuna watu kibao wanapanda na viatu juu ya masinki ya choo cha kukaa sembuse uko shuleni.
wakusanywe ao wanafunzi wafundishwe matumizi sahh na usafi wa choo.