Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Ndio maana nikakwambia hilo ni suala la uongozi, waandae bajeti waite watu wa plumber waangalie ni namna gani watavuta maji kutoka visimani kwenda vyooni, mboni Mzumbe Mbeya Campus wameweza UDOM wanasindwa nini kuiga? UDOM nini kinawashinda kuiga kutoka vyuo vingine? Nakuuliza wewe wanashindwa nini?Kwa sababu kuna maji
Udom maji hakuna,, hadi ukasombelee kisimani.
Lakini kwani kusombelea maji kisimani ndio kunampa mtu authority ya kushusha limzigo lake Bila maji?
Ni ujasiri wa hali ya juu sana.