Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

hydraulic usipoweka CVT OG umeua gearbox..
umekazana na hydraulic, hydraulic....
hydraulic ndio nini ?

fork lift na winchi na jeki ya matairi ndio zinajazwa hydraulic fluid...

unamaanisha transmission fluid ????

gari za kijerumani kubadilisha trans fluid ni mpaka maili 50,000 mpaka 100,000....

na kuna nyingine ka BMW na benzi user manual inasema transmission fluid is lifetime fill....

risk ya kuua tranny iko wapi kama unaweza kukaa na gari maisha hujagusa trans fluid?
 
Gotcha...
How Does a CVT Work?
In order to see how a CVT works, How Stuff Works explains, you need to understand a manual and a traditional automatic. A manual has a set number of gears, and the driver determines what gear ratio they need. An automatic also has a set number of gears, but it uses a hydraulic system that responds to pressure created by the conditions to determine the gear needed without any input from the driver.

A CVT is similar to an automatic in that it doesn't use any input from the driver, but that is where the similarities end. A CVT doesn't have any gears. Instead, it has two pulleys. One pulley connects to the engine, and the other connects to the wheels. A flexible belt connects the two pulleys
 
acha nitafute katoto kamoja humu jf nihonge ka Audi A1... πŸ˜ŠπŸ˜€
 

Halafu kitu kimoja nilisahau....

Hizi gari bhana msiweke videbe....

Engine ya FSI/TFSI inawekaje kidebe?

Hapo ndio watu huwa wanalalamika oooh engine zake mbovu.....

Ukiweza kuweka premium utanishukuru baadae.
 
Mifumo ya umeme ukimaanisha Ni hybrid au EV?
Okay gari za ulaya zinakuwa na perfomance nzuri sababu ya vitu kama hivi...
Hako kagari unaweza ukakuta kana...

EGR

Secondary air injection pump

Stratified fuel injection

Variable valve timing

Valve tronic

Na mengine mengi... Vitu ambavyo ni rarely kuvikuta kwenye engine za mjapani....
 
Unaiua gearbox ya IST ukiwa unafanya Nini?
CVT hiyo.. haitaki kashkash mzee....

Unadhani wengi wameziua hizo gearbox kwa kujua basi?

Anampelekea fundi anawekewa ATF... Akija kuchukua gari yake hata kupanda tu kajiwe haiwezi.... Au inaweza ikakuvumilia ikawa inatembea ila utauona utofauti mkubwa sana....

Au wamiliki wengine ujuaji umewakaanga... Ndio kanunua gari kama hiyo kwa mara ya kwanza.... Akienda kufanya service ananunua mwenyewe oil zake za elfu sabasaba... Fundi akileta ushauri anasema ooooh unataka kuniibia weka hiyo....

The moment wanamaliza kuweka Oil ataikataa gari yake....
 
Nimekuwa nikisikia mafundi kadhaa wakiwaasa watu wasinunue Audi sababu zinakufa sana gearbox, kuna ukweli?
Yes Audi zinaua gearbox hasa zenye gearbox za DSG...

Lakini hiyo gearbox ni kama gearbox ya manual.... Utofauti tu ni kwamba hiyo inakuwa na Dual clutch.... Kam hukumess up kwenye services basi mara nyingi kinachokufa ni hizo clutch....

Clutch zinaweza kuwa Dry au Wet....

Kwa ulaya naonaga wanabadili hizo clutch na maisha yanaendelea... Ila kibongobongo ndio imeisha hiyo....

Ulaya pia huwa wanakuwa na Overhaul kit za hizi gearbox za kawaida ila Bongo hazipo.
 

Mkuu me sidhani kama amekosea....

Hizo jeki and the likes ulizotaja zinawekwa hydraulic sababu ya kucreate pressure...

Na ni kitu hichohicho ndio kinatokea kwenye Automatic gearbox.... Hizi ni gearbox ambazo zinawork kwa pressure ingawa oil yake imeboreshwa pia ili iweze kusaidia kwenye cooling na lubrication....

Lakini Oil zote za Automatic Gearbox zinaingia kwenye kundi la Hydraulic Oils.

I stand to be corrected.
 
Halafu kitu kimoja nilisahau....

Hizi gari bhana msiweke videbe....

Engine ya FSI/TFSI inawekaje kidebe?

Hapo ndio watu huwa wanalalamika oooh engine zake mbovu.....

Ukiweza kuweka premium utanishukuru baadae.
Huwezi amini Audi A1 kuna zingine zina sunroof ambako Kwa gari za japani za kundi moja na hii hazina licha hiyo zina features nyingi zaidi
Tatizo liko Kwa wamiliki kutofata namna ya kuimaintain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…