Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

KJ07

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2,370
Reaction score
5,381
Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho.

Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa, amekiri kumfumania Mwanaume huyo akiwa mtupu chumbani kwa Mke wake huku akisema hapo Mwanzo Mke wake huyo Mdogo alizidi kuonesha viashiria vya kuwa karibu na Mtu huyo kadri siku zilivyozidi kwenda.

Ndalawa ambaye ni Mume wa Wake wawili amesema amemfumania Mke mdogo na Katayo katika chumba ambacho Mke huyo amepangishiwa Nyumbani kwa Katayo akimaanisha aliyefumaniwa ni Baba mwenye nyumba wao anapoishi yeye na Wake zake.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho Simion Kisinza amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na Uongozi wa Kijiji umechukua hatua ya ya kuweka nidhamu kwenye eneo hilo kwa kumuadhibu Katayo Bote hadharani kutokana na kurudia kosa hilohilo kwa Wapangaji wake kwa zaidi ya mara mbili.

Una maoni gani mwana JF.

Your browser is not able to display this video.
 
Baba mwenye nyumba Katayo Bote wa Kibwera Geita, amechapwa viboko hadharani na kupigwa faini ya 200,000 baada ya kufumaniwa na Mke mdogo wa Mpangaji wake aitwae Emmanuel Ndalawa ambapo tukio hili limetokea kwenye chumba ambacho Emmanuel amempangia Mkewe.


 
Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho...

"Ndalawa ambaye ni Mume wa Wake wawili amesema amemfumania Mke mdogo"

"Ndalawa..... amemfumania Mke mdogo na Katayo katika chumba ambacho Mke huyo amepangishiwa Nyumbani kwa Katayo akimaanisha aliyefumaniwa ni Baba mwenye nyumba wao anapoishi yeye na Wake zake."
 
Wamemuonea bure. Mke ndo alitakiwa atozwe faini kwa kukiuka mkataba na mume wake.
Kwahiyo mwenye mume karidhika kachukua pisi yake wanaendelea kuishi, 😅😅😅😅😅 raha sana
 
Wamemuonea bure. Mke ndo alitakiwa atozwe faini kwa kukiuka mkataba na mume wake.
Kwahiyo mwenye mume karidhika kachukua pisi yake wanaendelea kuishi, 😅😅😅😅😅 raha sana
Mwanamke Siku zote ni dhaifu,ameumbwa hivyo hata wewe pamoja na kuolewa kwako akitokea jamaa akikomaa mzigo utatoa tu.

Kwa kutambua hivyo,dunia INA deal na aliye kudanganya huku akijua fika wewe ni mke wa mtu
 
Mwanamke Siku zote ni dhaifu,ameumbwa hivyo hata wewe pamoja na kuolewa kwako akitokea jamaa akikomaa mzigo utatoa tu.

Kwa kutambua hivyo,dunia INA deal na aliye kudanganya huku akijua fika wewe ni mke wa mtu
Kama mnatambua ni dhaifu kwanini ukinifumania unipige au kuniua kabisa? Sijawahi kuona mwanamke kafumaniwa akasikitikiwa na udhaifu wake badala yake atatukanwa na jamii nzima na kuonekana kituko.
Mnacho kiamini si mnacho ishi.
 
Usikute Hilo fumanizi lilikuwa limepangwa na huyo mwanamke mwenyewe.
Hivi ndivyo watu wanavyopigaga pesa huko vijijini
Kuna jamaa aliwah piga laki 8 kizembe zembe tu hv hv

jAmaa alikuwa anatoka na mke wa mtu,sasa mke wake akawa anaumia sana anataman kulipiza
Akamfata jamaa mwenye mke kuwa walipize na wao waanze kulana mwenye mke akakataa
Baadae akapata kijana mdogo alikuwa anafanya biashara kama ya mumewe akaanza kutoka nae,siku moja jamaa akapanga kuwanasa na akawanasa kweli dogo akaamuliwa atoe laki 8 hapo hapo na dogo aliitoa ilibid ahame
 
Kwa zaidi ya Mara mbili, baba mwenye nyumba anakula Mizigo ya wake za wapangaji wake.

Lakni ndo kwanza wapangaji wanazidi kuamia...


Lkn pia ukiachilia mbali ukweli kua Wake za wapangaji hao wanajua kabisa mwenye nyumba ashatembea na wake wengine wa wapangaji na ikajulikana, na pengine Waume zao Huwa wanawaonya kabisa wake zao juu ya mwenye nyumba...... Lakini Bado wake zao pia wameamua kumtunuku Bwana Katayoo !!!.
Wale tunaosema Bwana Katayoo endelea kutoa dozi , Kwa Heshima na taazima, tusimame ,tupige makofi paaa paaaa paaaa!!.
Kila siku nawaambia, jamaan Wanawake Hawa sio Malaika kama mnavyodhani!!


👏🤣🤣 Nyinyi endeleeni kutuchapa tu fimbooo , Na sisi hasira tunarudisha Kwa wake zenu, sisi tunawachapa na Ubapa a k.a runguuu a.k.a Mashinee !!

Nyinyi so mnanjaa ya Pesa ndio maana mnapiga faini...Sisi tuna njaa ya Papuchi!!.

nasema uongo Ndugu zangu wa Familia ya Bwana Katayoo Bote🤣🤣🤣

ebu nipeni likes basi !!
 
Pamoja na Bakora zote hizo.


Bwana Katayoo atapewa Pole tu na Bibie baadae Hapo mbele 🤣🤣🤣
 
Usikute Hilo fumanizi lilikuwa limepangwa na huyo mwanamke mwenyewe.
Hivi ndivyo watu wanavyopigaga pesa huko vijijini
Kuna jamaa alikua anafanya hivi na mke wake,wakapata fedha na UKIMWI
 
Yaani ningekuwa Katayo baafa ya fimbo ningeanza na mke wa menyekiti na wale wote walionichapa😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…