Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

Baba mwenye nyumba anakula kodi na mbususu za wake wa wapangaji.

Ila mwenye nyumba angeenda kwenye madanguro si angekula mbususu mpaka akakinai kwa hiyo laki 2 tena bila hata ya kupigwa mboko.

Aibu, ukute anachapwa huku demu wake anamuona😂😂😂😂😂😂.

Kwa kulipiza kisasi angetembea na wake wote wa waliomhukumu kuchapwa na waliomchapa😂
 
Back
Top Bottom