Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

Mkoani huko viboko tu maisha yanaendelea, Sasa Dar ukifumaniwa bila kukutatua marinda hawaoni kama wamefanikiwa
 
Wamemuonea bure. Mke ndo alitakiwa atozwe faini kwa kukiuka mkataba na mume wake.
Kwahiyo mwenye mume karidhika kachukua pisi yake wanaendelea kuishi, 😅😅😅😅😅 raha sana
Ingekuwa umasaaini angechomeka mkuki nje wala asingepigwa
 
Kwakuwa B anamgonjwa umemtema kimtindo kwasababu hujui ana uhusiano gani na mgonjwa, na hata huyo mgonjwa hujui anaumwa nini sasa umehamia kwa S
 
Kumbe Mume kugonga na mke kugonga huko nje ni vya kawaida.
Basi vijana waendelee kusugua mbunye za wake zao maaa ni KAWAIDA.

#YNWA
Kwani usipooa huyo demu wako hatagongwa na wengine au wewe hutatoka na mwanamke mwingine zaidi yake.
Kama kataa ndoa yenu mnamaanisha hamtakuwa kwenye nahusiano yoyote wekeni wazi tujue
 
Viboko vyenyewe anaguswa tu 😂... ndo bakora za mzinifu zinavyochapwaga hivyo?! Mnacheza nyie 😂😂😂😂

Alafu eti ndo wanakijiji, hata wanaume wa Dar wasingemtandika kimahaba namna hiyo
 
Laki mbili ndogo
 
Kwani usipooa huyo demu wako hatagongwa na wengine au wewe hutatoka na mwanamke mwingine zaidi yake.
Kama kataa ndoa yenu mnamaanisha hamtakuwa kwenye nahusiano yoyote wekeni wazi tujue
Demi inaonekana hii movement ya kataa ndoa inakuumiza sana Mama?! 🤔

Hebu njoo PM tuyajenge... mie sipo hicho chama, tuelewane mzee mzima nitangaze nia nimuweke Mtoto Demi ndani 🙈😅
 
Kwani usipooa huyo demu wako hatagongwa na wengine au wewe hutatoka na mwanamke mwingine zaidi yake.
Kama kataa ndoa yenu mnamaanisha hamtakuwa kwenye nahusiano yoyote wekeni wazi tujue

Kataa tunaamini "HAKUNA WAKO PEKEE YAKO"
Na kama wenye ndoa zenu mnaamini hivi, BASI HUO MUUNGANO WENU wa msikitini na kanisani UNASHIDA PAHALA.

#YNWA
 
Kataa tunaamini "HAKUNA WAKO PEKEE YAKO"
Na kama wenye ndoa zenu mnaamini hivi, BASI HUO MUUNGANO WENU wa msikitini na kanisani UNASHIDA PAHALA.

#YNWA
Mbona lipo wazi kwamba mwanaume hatosheki na mwanaume mmoja, kila siku mnasema. Sasa iweje niolewe halafu niamini nitakuwa peke yangu.?
Na wanawake siki hizi mume mmoja hawatoshi basi mambo ni bambam...full raha
 
Ndio ndoa zenu ziko hivi?

#YNWA
 
Kwakuwa B anamgonjwa umemtema kimtindo kwasababu hujui ana uhusiano gani na mgonjwa, na hata huyo mgonjwa hujui anaumwa nini sasa umehamia kwa S
Hiyo Meseji ananiambia "Yaan weee ... Ilikua saa ngapi ? Saa 12 jioni sio ?.

Meseji anayoniambia nakuja Hosp , umeona ni saa ngapi? Saa 8 mchana sio ?.

Alipiga na kweli sikupokea, unajua nilikua nafanya nn?.

By the way nilikuja onana nao saa 10 kuelekea 11.

Wee unadhan mie mjinga? Wakati mchepuko anakuja Hosp anajua Kuna mtu wake, nitakua mstari wa mbele kumsaidiaaz yaan niache kujichukulia Marks kisa nn?? 🤣🤣🤣

Unajua Ile unampambania, nayeye Moyoni anasema "Yeeeees G babaangu unapambana🤣
 
Atamla tena
 
Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho.

Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa, amekiri kumfumania Mwanaume huyo akiwa mtupu chumbani kwa Mke wake huku akisema hapo Mwanzo Mke wake huyo Mdogo alizidi kuonesha viashiria vya kuwa karibu na Mtu huyo kadri siku zilivyozidi kwenda.

Ndalawa ambaye ni Mume wa Wake wawili amesema amemfumania Mke mdogo na Katayo katika chumba ambacho Mke huyo amepangishiwa Nyumbani kwa Katayo akimaanisha aliyefumaniwa ni Baba mwenye nyumba wao anapoishi yeye na Wake zake.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho Simion Kisinza amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na Uongozi wa Kijiji umechukua hatua ya ya kuweka nidhamu kwenye eneo hilo kwa kumuadhibu Katayo Bote hadharani kutokana na kurudia kosa hilohilo kwa Wapangaji wake kwa zaidi ya mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…