Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.
Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?
1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?
2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?
3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?
Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.
Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu