Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.

Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?

1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?

2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?

3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?

Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.

Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Mikataba ya Magufuri ilikuwa ya kujenga nchi na kunufaisha kizazi cha leo na kijacho lakini hii mikataba ya Mama Samiah ni ya kufilisi nchi na kuneemesha Waarabu pia hyapo baadaye hiyo mikataba inaweza ikawa chanzo cha vita vya sisi kwa sisi ili Mwarabu atutawale vizuri.
 
Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.

Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?

1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?

2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?

3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?

Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.

Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Wewe hata huelewi kwamba Samia hajapeleka majadiliano bungeni, makubaliani yamemlazimisha afanye hivyo.

Na asingelazimishwa asingepeleka chochote Bungeni.

Umesoma IGA?
 
Sasa kama tupo tupo hakuna marndeo yoyote si Bora tuuze nchi tu. Ni sawa na mtu ana ng'ombe mia lakini anakufa njaa eti hataki kuchinja ng'ombe wake.
Anza kuuza mke wako na watoto wako maana nyumba imekushinda.
 
Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.

Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?

1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?

2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?

3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?

Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.

Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Kinachojadiriwa ni contents za mkataba na wala blabla unazoleta hapa wewe kichwatupu!!
 
JPM ndiye kajaza wabunge chawa waliopitisha mkataba bila kuusoma.
Wewe ni bwege tu. Sisi watz ndio tuliopiga kura siyo wewe mbeha ukipewa tu mzoga unatetea hata vitu ambavyo ni vya ovyo!
 
Sasa kama tupo tupo hakuna marndeo yoyote si Bora tuuze nchi tu. Ni sawa na mtu ana ng'ombe mia lakini anakufa njaa eti hataki kuchinja ng'ombe wake.
Anza kuwauza wazazi wako kwa hao waraabu kwanza!
 
Shivji alifunga mdomo..
Dr Slaa aliunga mkono
Mwanakijiji aliunga mkono
Pengo alisifia kila kitu...

Huku Tundu Lissu anapigwa risasi,Ben Saa nane anapotezwa...Roma anatekwa
Kwa hiyo watu wakae kimya au siyo?
 
Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.

Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?

1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?

2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?

3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?

Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.

Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
hii nchi sio ya kwake binafsi, usiongee kama vile yeye pekee ndio mwenye haki kuamua kwa ajili ya watanzania. kwa taarifa yako, hata mshahara sisi wananchi ndio tunamlipa, tunamlisha na kumlinda ili atufanyie kazi tunayotaka, sio ile yeye anayotaka.
 
Shivji alifunga mdomo..
Dr Slaa aliunga mkono
Mwanakijiji aliunga mkono
Pengo alisifia kila kitu...

Huku Tundu Lissu anapigwa risasi,Ben Saa nane anapotezwa...Roma anatekwa
Sasa unataka watz wafanyeje kwenye hili la bandari?
 
Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.

Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?

1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?

2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?

3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?

Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.

Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
Kuna sababu ya watu walimwamini kwa nia njema aliyokuwa nayo, mama amezungukwa na washauri wasioaminika inapokuja maslahi ya nchi licha ya yeye kuwa msafi kama ilivyo kwa wazanzibari wengi hawana tamaa ya mali kwa hofu ya Mungu na wanaomzunguka wanatumia hilo kushauri vibaya kwa kunufaika wao
 
Itapendeza sana. Maana kama kuneemeka wananeemeka, kwa nini wakati wa kuvuna walichopanda wazee wao na wao wasivune?
Mchuma janga, hula na wa kwao.
Kuna siku familia za waliofanya madudu nchi hii zitakua zinalengwa na makundi ya kihalifu mchana kweupe
 
Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm.

Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge?

1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala ya contract?

2. Ujenzi wa daraja kigongo busisi. Je bunge lilishirikishwa katika majadiliano au watu waliruhusiwa kutoa maoni?

3. Bwawa la nyerere au stiglers gorge. Je mlishirikshwa na Kuna mtu ana copy yoyote ya mkataba kati ya wale wamisri na Tanzania?

Miradi ni mingi sana jpm hakutaka kabisa kushirikisha mtu yeyote alifanya mwenyewe na aliyejaribu kuhoji ama aliuawa au alipewa kesi ya uhujumu uchumi.

Acheni kumsumbua mama kwa uungwana wake wa kupeleka majadiliano bungeni na kuweka wazi kila kitu. Angekuwa jpm! Thubutu
shida hujui hata kwa nini umeenda bungeni, na wala haujaenda kwa bahati mbaya, au kwa kuwapenda watanzania, kwa sababu ni takwa la kisheria ambalo lazima watu wa DPW ndio wanaoshinikiza ili kuufanya uwe sheria, ni si makubaliano kama mnavyodanganya mkuu, ile ni treat na si hisani ya Samia
 
Back
Top Bottom