Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

Shivji alifunga mdomo..
Dr Slaa aliunga mkono
Mwanakijiji aliunga mkono
Pengo alisifia kila kitu...

Huku Tundu Lissu anapigwa risasi,Ben Saa nane anapotezwa...Roma anatekwa
Ni uchaguzi tu,mbona akina Zito Kabwe walikua msitari wa mbele kuhoji leo nao wapo kimya.
 
Ulivujishwa kwa makusudi.

Ila kuhusu mkataba hilo lazima lipite tu, hizi ni kelele ambazo hazina maana
 
Kwa uelewa wako mdogo unadhani JPM alikuwa ni wa viwango vya huyo mtu wenu kiasi cha kusaini mikataba ya kijinga namna hii...Kwa taarifa yako, jpm alikesha akiipitia mikataba mstari kwa mstari na kuelewa anachokisaini.
 
Hivi na gesi ya Mtwara ndio tumeliwa?
 
Mijitu mingine sijui ikoje...

Unaandika utafikiri unapumuliwa kisogoni si bure!...
Ama unamsupport basha wako!

Nna mashaka na wewe...

Hakuna mtanzania mwenye umri wa kujitambua kuanzia hata miaka 12 kuendelea Anaweza kukubaliana na haya ya Bandari...
 
Wee mburula Magufuli alikuwa anaimba win win situation ingawa alikuwa anajiwekea 10% yake! Hakuwahi ku-sign mikataba ya kuuza ardhi yetu, hawa nguruwe wanauza nchi kabisa na ndiyo sababu DP World wanataka wenye nchi wakubali kupitia bunge!
 
Wee mburula Magufuli alikuwa anaimba win win situation ingawa alikuwa anajiwekea 10% yake! Hakuwahi ku-sign mikataba ya kuuza ardhi yetu, hawa nguruwe wanauza nchi kabisa na ndiyo sababu DP World wanataka wenye nchi wakubali kupitia bunge!
Sasa kama tupo tupo hakuna marndeo yoyote si Bora tuuze nchi tu. Ni sawa na mtu ana ng'ombe mia lakini anakufa njaa eti hataki kuchinja ng'ombe wake.
 
Mwendazake alikua rais rock.
 
Klichomkuta ndiyo stahiki ya ubabe wake
 
Huwo ni mtazamo wako japo huwezi juwa kwanini mkataba umeletwa kwa raia waongee kama hujuwi Magu alikuwa akipeleka mikataba kwa wasomi ikajadiliwe before haijapita huu umeshuswa kwa amri na ndio maana bunge pia wakapitisha japo wakawa wajanja kusema wamepitisha majadiliano.
Pili kama hujuwi kwanini Jaji mkuu na Spika hawashitakiwi basi ona kama unavyo ona ila Siri Kali🤐 kama Siri sio Kali mwambie Mzee wa Msoga aongee issue ya DPW
 
Wamiliki halali wa hiyo rasilimali kutoa maoni yao ndio kumuandama kiongozi wao?...
Wewe ni bwege mtozeni.
 
Kuna mkataba ulishawahi kumuona kipindi chake?
We uliwahi kuona wamasai wanahamishwa Loliondo kipindi cha JPM? Uliwahi kuona masoko yanachomwa leo na kesho yake fedha za kuyajenga inapatikana? Uliwahi kuona bei ya kununulia ndege inaongezwa masifuri kibao? Uliwahi kuona akisafiri nje na na utitiri wa watu kwenda kwenye mnada? Uliona maji na umeme vinakatika?
 
Ww ni wale wanao amini rais ni Mungu. JPM hakuwa mtu, bali alikuwa shetani katika umbile la binadamu. Sasa kumlinganisha na huyo bibi wa kikojani ni kutojitambua. Ni hivi, bandari haiuzwi.
 
Wasomi Gani amelikuwa anawapelekea. Kama.ni hivyo basi alikuwa analidharau baunge na hivyo alikuwa haheshimu katiba ndoama kwa Jpm kuvunja katiba ilikuwa swala la kawaida kwake.

Halafu hawan wasomi unaowazungumzia ni akina nani. Mbona mi sijawahi kushirikishwa hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…