Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

Kataa DP World... kataa wahuni.
 
Nisingeona kwa sababu kipindi kile Bata wa kunionesha alinyimwa hiyo fursa. Vyombo vya habari havikuruhusiwa kabisa kuripoti kitu ambacho hakipendezi serikali. Kumbuka hata ule wizi wa 1.5 trillion ulimuondoa prof Asad.
 

Kwaio wewe una akili kumzidi huyo mzee
 
Ndiyo Nina akili kumzidi. Mi nilikuwa na div one y point 7 nikaenda combination ngumu yaani pcm na yeye alikuwa na div three akaenda combination ya ki mama yaani hgk.
 
Acha upumbavu wako na utofautishe Bandari na miradi uliyoitaja!
Bandari ndio moyo wa Uchumi wa Tanzania.
 
Kwa akili zako huo mkataba wa Bandari amemshirikisha nani ?
Huo mkataba ulisainiwa kimya kimya sema tu watu waliamua kuuvujisha ndipo akaona ajisafishe kupitia Bunge. Hivi uliona wapi mtu anakushirikisha kujadili mkataba ambao ameshasaini tayari ?
Amini nakwambia watanzania wengi akili yao ni kama ya mtoa mada kwamba raisi anastahili kufanya lolote na kumkosoa ni kosa. Ndio maana Tanzania bado sana
 
Shivji alifunga mdomo..
Dr Slaa aliunga mkono
Mwanakijiji aliunga mkono
Pengo alisifia kila kitu...

Huku Tundu Lissu anapigwa risasi,Ben Saa nane anapotezwa...Roma anatekwa
Kwa hiyo unataka na sasa wafunge midomo au sio? So, ukiwa mjinga inabidi uendelee kuwa mjinga daima hutakiwa kubadilika?
 
Amini nakwambia watanzania wengi akili yao ni kama ya mtoa mada kwamba raisi anastahili kufanya lolote na kumkosoa ni kosa. Ndio maana Tanzania bado sana
Mbona jpm alifanya lolote na chochote mpaka kumlamba lisu lisasi 32?
 

Trash
 
Mbona jpm alifanya lolote na chochote mpaka kumlamba lisu lisasi 32?
Bado walikuwa wanamkosoa ndio maana wengine wakapotea na wenginr akawalima risasi, wengine akawafunga kwani alifanya hivyo kwa sababu walikuwa wanampongeza? Kila zama zina wakosoaji na waimba mapambio kwa hiyo acha waendelee kumkosoa
 
Wamiliki halali wa hiyo rasilimali kutoa maoni yao ndio kumuandama kiongozi wao?...
Wewe ni bwege mtozeni.
Kwa jpm mngefanya hivi. Mngekuwa mpaka Sasa hivi mkonkwenye viroba
 
Mwigulu na Nape mara kadhaa wamesema msitumie uungwana wa Rais Samia vibaya mkajua ni dhaifu..

Ni hajaamua na sio hulka yake kuwa dikteta ndio maana wakati Jiwe anawashughulikia alikuja kuwaona hospital licha ya Jiwe kununa.
 
Hiyo miradi yote ya JPM uliyoitaja tunaona manufaa yake Acha chuki binafsi kama kakosea lazima akosolewe period
 
Kwa taarifa yako huu mkataba umevujishwa, uko signed toka october 2022. Hata tunadisucss kitu ambacho tiyari kishawekewa wino.
 
Lakini hata SGR Ina riba kubwa sana huku tumelazimishwa kukopa benki husika tu. Kasome performance audit ya CAG uone jinsi mkataba ulivyokua wa kinyonyaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…