Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

Wazo la kipumbavu... Nowadays simu zina emergency mode. Hivyo unaweza kuchagua contacts ambazo zinaweza kupigiwa kama ikitokea umepata matatizo. Sema watu wengi hawajui kutumia simu, na hapo ndio matatizo yanapoanzia.
Hivi ndo vitu muhimu vya kufundishana.sio kutoa parswed.
Hembu dear tufundishe.kama hutojali
 
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha

kwenye iphone taarifa za hosp hupatikana hata simu ikiwa na password mtu yeyote akikuta umeanguka anaweza kumpigia dakt wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
Mbona ipo! Kuna mahali pameandikwa Emergency call ingia hapo kuweka namba za watu wako wa karibu.
 
Hivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
Mbona ipo, unaselect namba za emergence
 
Naomba unipe na mimi hayo maujuzi niweke kwenye ki Samsung changu tafadhali.
Ingia serting,kisha display,kisha emergency call utajaza info zako za kiafya na number za watu wako wa karibu.
 
Hivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
nadhani kuna simu nyingi tu zinaruhusu mtumiaji kuweka namba za dharura ziwe zina display kwenye lock-screen mfano simu za oneplus
 
Siongelei daktari naongelea ndugu waweza dondoka hela mfukoni huna na kadi ya bima ya afya huna nduguzo wanapataje taarifa hata ukiokotwa na msamaria mwema?
boss hizo info za daktari ndizo husaidia na kuwapata ndugu wa mgonjwa kwenye nchi zilizoendelea maana dakt anakuwa na address yako huko ofisini kwake mfano nyumba namba 40 mtaa wa lumumba so inakuwa rahisi kupata ndugu za mgonjwa
 
Back
Top Bottom