sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
[emoji1][emoji1][emoji1]Ili mlog in kwenye akaunt zetu za jf mtujue pumbaaaaf
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1]Ili mlog in kwenye akaunt zetu za jf mtujue pumbaaaaf
Hivi ndo vitu muhimu vya kufundishana.sio kutoa parswed.Wazo la kipumbavu... Nowadays simu zina emergency mode. Hivyo unaweza kuchagua contacts ambazo zinaweza kupigiwa kama ikitokea umepata matatizo. Sema watu wengi hawajui kutumia simu, na hapo ndio matatizo yanapoanzia.
Bas hautak tuone mesejiHapana.huwa sina videos na pic za ovyo kwa cm yangu.
Hivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
Nimeona na nimesha sett tayari.IPO Samsung unaweka namba za emergency, mimi nimeweka mbili !
Mtu anaeza piga bila password
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona na nimesha sett tayari.
Hakika jf ni kisima cha maarifa...
[emoji7] ilove u jf na watu wake
Naomba unipe na mimi hayo maujuzi niweke kwenye ki Samsung changu tafadhali.Nimeona na nimesha sett tayari.
Hakika jf ni kisima cha maarifa...
😍 ilove u jf na watu wake
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
Mbona ipo! Kuna mahali pameandikwa Emergency call ingia hapo kuweka namba za watu wako wa karibu.Hivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
Password ni kwa usalama wa cm kwa ujumla.
Kudondoka na corona hiyo ni mipango ya MUNGU tu.
#tujikingekoronainaua
Siongelei daktari naongelea ndugu waweza dondoka hela mfukoni huna na kadi ya bima ya afya huna nduguzo wanapataje taarifa hata ukiokotwa na msamaria mwema?kwenye iphone taarifa za hosp hupatikana hata simu ikiwa na password mtu yeyote akikuta umeanguka anaweza kumpigia dakt wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana.mkuu.si unajua si binadamumkuu nimewahi kukuona Moshi maeneo ya Ushirika je ni wewe au nakufananisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ndoa zivunjikeMtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
Mbona ipo, unaselect namba za emergenceHivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
Ingia serting,kisha display,kisha emergency call utajaza info zako za kiafya na number za watu wako wa karibu.Naomba unipe na mimi hayo maujuzi niweke kwenye ki Samsung changu tafadhali.
Samsung wana namba tano ambazo unaweza piga hata simu ikiwa na paswed,Hivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
😅sawa maana hiyo sura nimeiona zaidi ya mara 5Inawezekana.mkuu.si unajua si binadamu
nadhani kuna simu nyingi tu zinaruhusu mtumiaji kuweka namba za dharura ziwe zina display kwenye lock-screen mfano simu za oneplusHivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
😅sawa maana hiyo sura nimeiona zaidi ya mara 5Inawezekana.mkuu.si unajua si binadamu
boss hizo info za daktari ndizo husaidia na kuwapata ndugu wa mgonjwa kwenye nchi zilizoendelea maana dakt anakuwa na address yako huko ofisini kwake mfano nyumba namba 40 mtaa wa lumumba so inakuwa rahisi kupata ndugu za mgonjwaSiongelei daktari naongelea ndugu waweza dondoka hela mfukoni huna na kadi ya bima ya afya huna nduguzo wanapataje taarifa hata ukiokotwa na msamaria mwema?