Acheni maneno ya mitaani na mitandaoni... Kupata mke ni kazi sana miaka hii

Nimekuelewa vyema chief!!

Unaweza kumuona muadilifu kumbe kumbe anakukataa kwa kuwa kashakupima mwenye mizania kakuona hautoshi
 
Hivi mfano kama huoni demu wa maana ili umfanye mama watoto hapo tatizo linakua ni hao mademu au wewe mtafutaji?
Hamjui mnataka nini, ukipewa muda huohuo hata hujatawaza manii unakimbilia kuanzisha nyuzi, wanawake skuiz malaya sanasana hawa wa buku bee, ukinyimwa mpk ndoa unaanzisha uzi unahisi kuna jamaa anajipigia! A very negative mindset!
 
Ni wewe mtafutaji hauna macho mema.
Tuishi humo, nyakati zote za maisha ya mwanadamu tangu zamani hizo za kina Zinjanthropus & homo erectus watu wote walikuepo wife material walikuepo, Malaya walikuepo, pisi kali zilikuepo, wazee wa chapa ilale sijui one night/overnight walikuepo, wazee wa nyeto walikuepo, masingle mother walikuepo. Hamna jipya.
 
Siku hizi madogo lialia kila kitu wanaona kipya na kuja kujishangazisha mitandaoni!
 
Upo sahihi sana.Ila,usiishi katika upotofu.Oa uwe na yako family.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…