Acheni maneno ya mitaani na mitandaoni... Kupata mke ni kazi sana miaka hii

Siku hizi ngumu Sana kuaminiana, vijana wanataka Ku test mitambo kabisa. Halafu unampa Hela za nini?, kwanini Hela na mahitaji mengine usimwambie Hadi tutoane ndo nitakupa?
 
kodi nimchangie kulipa halafu
Kiufupi mko wengi mnao changi kodi.
---
Tafuta binti utakaye mtoa kwenye himaya ya familia yake, ambaye bado anaishi kwa baba na mama, ukimwelewa akakuelewa tuma mshenga na kishika uchumba huyo ndio mke.
 
Shida ni kuhitaji kupewa huduma kama mkewe lakini tendo hataki kutoa. Huo n utapeli
 
Kwani ukioa unafanyaje unafuga mwanamke au unamtomba? Acheni kuuliza maswali ya kiduanzi
Ukishaoa sex ndio mahali pake, tofauti na inavyotaka wewe, binti amekuambia sex mpaka umuoe tayari ushamtengenezea negative kibao, kwani nini kinazuia kumchunguza kama kweli anamaanisha au kuna mtu anaye?
 
Tatizo la kimaadili na kisaikolojia hili.

Umeonesha nia ya kuoa halafu hapo hapo unataka kuzini, inamake sense hii?

Mapenzi, ngono, umalaya hupikwa chungu kimoja.

Huyo msichana alikusoma vizuuuuri kwamba haukuwa na nia nzuri kwake, ninampongeza kwa kukutolea nje na dhamira yako hiyo ovu.

Wadhani kwa nini tamaduni zinaharamisha kufanya ngono kabla ya ndoa?

Ni kitu gani kinamvutia mwanaume hadi kupelekea kutoa mamilioni ya gharama za harusi kumuoa mwanamke?

Kwa nini unang'ang'ania kupewa kitu chenye thamani kwa mbinu nyepesi?
 
Angeacha kuomba kodi na matunzo
 
Siku hizi ngumu Sana kuaminiana, vijana wanataka Ku test mitambo kabisa. Halafu unampa Hela za nini?, kwanini Hela na mahitaji mengine usimwambie Hadi tutoane ndo nitakupa?
Mkuu kwani wewe ni mgeni na hiki kizaz? Ukijibu hivyo unadhani relation ina go on kama sio breakup
 
Kiufupi mko wengi mnao changi kodi.
---
Tafuta binti utakaye mtoa kwenye himaya ya familia yake, ambaye bado anaishi kwa baba na mama, ukimwelewa akakuelewa tuma mshenga na kishika uchumba huyo ndio mke.
sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…