Acheni uchoyo jamani!!!!!

Acheni uchoyo jamani!!!!!

What goes around comes around ukiona hivyo ujue wakati wako na wewe hukualika watu kama njaa mbona kawaida hata chelsea jana wameshinda nayo [emoji23]
Wakati wangu upi? Mie sina sikukuu hivyo huwa naalika tu wakati wowote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walah umenichekesha!!
Nialike tu mdogo wangu, leo sikuiti kabisa. Leo mie mgeni mtiifu kabisa.
Leo dada angu pambana na kiporo chako tu..wenye sherehe zao wanadai TICKET's SOLD OUT😂😂
 
Leo dada angu pambana na kiporo chako tu..wenye sherehe zao wanadai TICKET's SOLD OUT[emoji23][emoji23]
Jamani jamani sio vizuri hovyo[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom