Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo hivo mkuu we chukulia mfano unakutana na kigari kama ki-nissan duet ama ki-vitz alafu ndani yake anatoka mtu kama JB ama Le Mutuz yani haiji kabisa yani...
wiseboy uko sahihi lakini kwa rangi hapana, it looks weird kwa mwanaume kuendesha gari yenye rangi ya pink kama usafiri binafsi
Ujuha wao tu...
Tutasikia na mitaa ya kike na ya kiume, nyumba za kike na za kiume, mashamba ya kike na ya kiume, halafu tutahamia kwenye noti/sarafu za kike na za kiume.
Khaa! Vipi kiongozi, washakuvuruga nini? naona povu jingi sanaKwa muda mrefu sasa nimekuwa naona mada humu JF zikiwa zinaponda magari,kwamba magari kama Toyota Passo,Vitz,IST,Starlet,na n.k ni magari ya kike.
Naomba wote wanaoamini kuwa kuna magari ya kike watoe ushahidi,ni wapi ambako chombo cha moto kimeandikwa kuwa:
A Vehicle Special for female au for male?
Acheni Ushamba nyie watanzania ambao hamjui lolote ktk Dunia hii yenye mambo mengi na mazito.
Tanzania isiyotengeneza hata sindano eti wananchi wake wanadharau magari yanayotengenezwa nje na kuya Classify kuwa hili ni la kike na lile ni la kiume,huu ni ujuha wa hali ya juu.
Watanzania ambao hata kula yao ni shida kwa siku eti nao wanabagua magari,kwa lipi?
Ukienda,Japan,US,UK,Germany,Sweden na popote duniani ambako wanatengeneza magari,hawawezi kukuambia kuwa hili ni gari la kile na lile ni la kiume.
Siku zote maskini ni mtu anayejiona ni bora kuliko wote japokuwa hana lolote,Sasa wewe umehangaika ukapata vipesa vyako unanunua gari anakuja mjinga anakuambia ni la kike,wapi imeandikwa kuwa ni la kike,Ujinga uliokithiri.
Kuna magari yanayowapendeza wanawakeKwa muda mrefu sasa nimekuwa naona mada humu JF zikiwa zinaponda magari,kwamba magari kama Toyota Passo,Vitz,IST,Starlet,na n.k ni magari ya kike.
Naomba wote wanaoamini kuwa kuna magari ya kike watoe ushahidi,ni wapi ambako chombo cha moto kimeandikwa kuwa:
A Vehicle Special for female au for male?
Acheni Ushamba nyie watanzania ambao hamjui lolote ktk Dunia hii yenye mambo mengi na mazito.
Tanzania isiyotengeneza hata sindano eti wananchi wake wanadharau magari yanayotengenezwa nje na kuya Classify kuwa hili ni la kike na lile ni la kiume,huu ni ujuha wa hali ya juu.
Watanzania ambao hata kula yao ni shida kwa siku eti nao wanabagua magari,kwa lipi?
Ukienda,Japan,US,UK,Germany,Sweden na popote duniani ambako wanatengeneza magari,hawawezi kukuambia kuwa hili ni gari la kile na lile ni la kiume.
Siku zote maskini ni mtu anayejiona ni bora kuliko wote japokuwa hana lolote,Sasa wewe umehangaika ukapata vipesa vyako unanunua gari anakuja mjinga anakuambia ni la kike,wapi imeandikwa kuwa ni la kike,Ujinga uliokithiri.
wewe lazima unatembelea NOAH AUTOMATIC.......
Kiuhalisia hakuna gari ya kike wala ya kiume...lakini kimuonekano inaleta heshima kwa mwanaume kutulia ndani ya Land Cruiser au Range Rover kuliko mwanaume wa miraba minne kujificha ndani ya vitz au spacio....ambapo kimuonekano zinawapendeza sana wakiendesha wadada...
Sasa mimi mpango ni kunua hiyo IST