ACP Kingai ni vyema na haki ikiwa utarejesha Tsh 260,000 fedha za mtuhumiwa wa ugaidi

Lakini hebu turudi kwa wanasheria wa serikali wanaoshiriki kubuni njia, mbinu na mtiririko wa matukio feki na kujifanya wanamuongoza mashahidi ili waseme kilichojiri wakati wanajua kabisa kwamba yanasemwa ni uongo, uongo mtupu, tena chini ya kiapo, hao nao si kama wafarisayo walio mtengenezea Yesu mashtaka ya uongo? Hao kweli watauona ufalme wa Mungu?!?!?!
Katika mashata sijasikia habari ya kulipia vituo vya mafuta, wala sijaona vilipuzi au mabomu yaliyowekwa kama vidhibiti vya kazi hiyo, au walitaka kuilipua kwa Pilato na lete 83 za mihadarati????
 
Mkuu umefunga kazi sina la kuongezea. Barikiwa sana.
 
Wakitoa ushahidi walimkuta na 260,000/= za bandia! Si kesi juu ya kesi ya kesi.
 
Hiki chombo kina watendaji wachafu mno wengine very senior! Ukiona uchafu unaofanyika huko chini kwa matrafiki na watendaji wengine ni reflection ya kutokea juu.
Hebu fikiria umekamatwa na traffic police Kwa kosa la kukubambikia ukaona uende Kwa RPC na RPC mwenyewe ni Kingai au wa namba yake unategemea kweli kupata haki yako?? Si watakubadilishia kosa na kukuwekea hata silaha kwenye gari laki au viungo vya binadamu???

Hangaya akiendelea kucheka na hawa watu basi tutaamini kuwa nae ni sehemu ya uchafu ule.
 
Wakitoa ushahidi walimkuta na 260,000/= za bandia! Si kesi juu ya kesi ya kesi.
... hayo yote yalitakiwa kuonekana kwenye hati ya mashitaka (charge sheet). Lakini kwa kuwa kesi yote imejaa hila hawakutaka kuorodhesha hizo fedha kama ambavyo wanadai kuwakuta na bastola na madawa ya kulevya lakini vyote kwenye charge sheet havipo!
 
Wangapi wasiokua na watu au connection ya kupambaniwa wanadhulimiwa haki zao...

Inasikitisha sana...
 
ni wachafu sana me na mdogo wangu walichukuwa simu na mapaka leo hawajarudisha tena mmoja yuko kwenye hii kesi ukienda kituoni unazungushwa to
 
Haya mapolisiccm ni noma sana.
 
Hamza analaumiwa bure ila alikuwa na lake jambo dhidi ya polisi. Mbio mbio wakakimbilia ku-conlude alikuwa gaidi ili kuficha udhulumati waliomtendea.

Ifike mahali kuwe na independent body ya ku-oversee jeshi la polisi. Wana abuse sana mamlaka yao!

Ukweli mchungu Raia/Wananchi wengi wamekosa imani na Jeshi la Police 👮‍♀️
 
Kwanza anatakiwa ashitakiwe kwa ujambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…