Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu mzee ni mtu wa hovyo snAtazitolea katika tundu lolote alilonalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee ni mtu wa hovyo snAtazitolea katika tundu lolote alilonalo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TBA tunataka pambano la ndondi kati ya Kingai na Adamoo, baada ya case ya Mbowe kutupiliwa mbali.
Atakuwa alionga kimadakingai si aliitolea maelezo hiyo hela kuwa aliwanunulia watuhumiwa nyama na Mo Energy.
Naunga Mkono HojaWakuu wote heshima sana.
Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.
Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya kujitetea.
Akiongozwa na wakili wa utetezi alibainisha wazi wakati wa ukamataji ACP Kingai alichukua simu zake na fedha kiasi cha Tsh 260,000.
Muungwana ni vitendo ni vyema Kingai akamrejeshea mtuhumiwa fedha zake bila kujali Mtuhumiwa atashinda au atashindwa kesi yake.
Ikiwa ACP Kingai alishatafuna fedha za mtuhumiwa na hali ya uchumi imemkalia vibaya basi atoe namba zake za simu Sisi waTanzania ni watu wenye huruma hakika tutachanga kama tunavyochangia watu wengine bila kinyongo wala hiyana.
Naomba kuwasilisha.
Kijana wangu walitaka kumpa kesi isiyomuhusu eti wamefananisha tu gari yake Kama asingekomaa nao angekuwa jela au wangemtoa hela nyingi Sanani wachafu sana me na mdogo wangu walichukuwa simu na mapaka leo hawajarudisha tena mmoja yuko kwenye hii kesi ukienda kituoni unazungushwa to
Siyo kwamba wana hali mbaya,wanatumia pesa zao vibaya,wana posho katikati ya mwezi,mshahara mwisho wa mwezi,bado maruprupu kibao.Wanatumia pesa tu vibaya.Jamaa wanahali ngumu sana hawasemi tu!askali ukimbeba kwenye boda kwenda kituoni mkifika kituoni wale walinzi anawauliza ase mpeni buku boda yeye anaingia ndani wale walinzi wanakuambia nenda kwanza utaijia baadaye hela!sasa swali nikirudia hela utanipa elfu mbili?kwanini niliyembeba askali hukumjibu huna hiyo pesa ili niliyemleta ajue kuwa huna pesa?wanakera sana jamaa na wanadhalau kazi za watu sana!
Mambo mawili yalinifurahisha sana mwaka huu.Hamza analaumiwa bure ila alikuwa na lake jambo dhidi ya polisi. Mbio mbio wakakimbilia ku-conlude alikuwa gaidi ili kuficha udhulumati waliomtendea.
Ifike mahali kuwe na independent body ya ku-oversee jeshi la polisi. Wana abuse sana mamlaka yao!
kingai si aliitolea maelezo hiyo hela kuwa aliwanunulia watuhumiwa nyama na Mo Energy.
chief hayo yanahojiwa katika nchi ya sheria lakini hapa hatufuati sheria. there's no Justice in the jungle.Kama huo utakuwa utetezi wake kuhusu 260,000 basi atakuwa na kazi sana. Itakuwa tayari upekuliwaji ulikwishafanyika na tayari fedha hizo zimekuwa sehemu ya vitu alokutwa navyo mtuhumiwa! Je kuna utaratibu wa kutumia fedha hizo kumnunulia mtuhumiwa aliye mikononi mwa Polisi??
Enhe ndiyo kabisa nilifurahi sana yaani ile 17/3/2021 baada ya tangazo nikatoka nikaenda kabaa kajirani nilirudi alfajir kwakweliDuh 🙄
Mm hata nilipoona ile picha ya yule wa mpwapwa nilifurahi sana sana!katika maisha yangu siwezi kumpenda polisi,ni washenzi
chief hayo yanahojiwa katika nchi ya sheria lakini hapa hatufuati sheria. there's no Justice in the jungle.
Hakuna mabomu, maguruneti, vifaru wa vilipuzi vyovyote vilivyokamatwa vinavyohusika na matendo ya ugaidi lkn bado kuna watu wajinga bado wanaendelea na hii kesi ya ugaidi sjui ni ugaidi wa aina gani
OK twendeni mbele halafu tu rudi nyuma, et mbowe ni gaidi? Duh hii ni Kali ya mwaka, kama mbowe akiwa gaidi mwigulu atakuwa Osama na sabaya atakuwa mullar Omar
Hiyo sio kesi ya ugaidi ni kesi ya aibuLeo saa 3 asubuhi tukae mkao wa kusikiliza kesi ya Ugaidi.
Mkuu,unataka ajikaange mwenyewe?Ila wizi ni mbaya sana i.e kutwaa mali ya mtu bila ruhusa.😝😝😝😝😝Wakuu wote heshima sana.
Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.
Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya kujitetea.
Akiongozwa na wakili wa utetezi alibainisha wazi wakati wa ukamataji ACP Kingai alichukua simu zake na fedha kiasi cha Tsh 260,000.
Muungwana ni vitendo ni vyema Kingai akamrejeshea mtuhumiwa fedha zake bila kujali Mtuhumiwa atashinda au atashindwa kesi yake.
Ikiwa ACP Kingai alishatafuna fedha za mtuhumiwa na hali ya uchumi imemkalia vibaya basi atoe namba zake za simu Sisi waTanzania ni watu wenye huruma hakika tutachanga kama tunavyochangia watu wengine bila kinyongo wala hiyana.
Naomba kuwasilisha.
arejeshe kwanza ndio kesi iendeleeWakuu wote heshima sana.