ACP Kingai ni vyema na haki ikiwa utarejesha Tsh 260,000 fedha za mtuhumiwa wa ugaidi

TBA tunataka pambano la ndondi kati ya Kingai na Adamoo, baada ya case ya Mbowe kutupiliwa mbali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu wote heshima sana.

Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.

Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya kujitetea.

Akiongozwa na wakili wa utetezi alibainisha wazi wakati wa ukamataji ACP Kingai alichukua simu zake na fedha kiasi cha Tsh 260,000.

Muungwana ni vitendo ni vyema Kingai akamrejeshea mtuhumiwa fedha zake bila kujali Mtuhumiwa atashinda au atashindwa kesi yake.

Ikiwa ACP Kingai alishatafuna fedha za mtuhumiwa na hali ya uchumi imemkalia vibaya basi atoe namba zake za simu Sisi waTanzania ni watu wenye huruma hakika tutachanga kama tunavyochangia watu wengine bila kinyongo wala hiyana.

Naomba kuwasilisha.
Naunga Mkono Hoja
Uanzishwe Mkeka Kwa Kumchangia ACP Kingai alipe Deni la watu
 
ni wachafu sana me na mdogo wangu walichukuwa simu na mapaka leo hawajarudisha tena mmoja yuko kwenye hii kesi ukienda kituoni unazungushwa to
Kijana wangu walitaka kumpa kesi isiyomuhusu eti wamefananisha tu gari yake Kama asingekomaa nao angekuwa jela au wangemtoa hela nyingi Sana

Polisi wa TZ nawachukia Sana ni zaidi ya shetani
 
Jamaa wanahali ngumu sana hawasemi tu!askali ukimbeba kwenye boda kwenda kituoni mkifika kituoni wale walinzi anawauliza ase mpeni buku boda yeye anaingia ndani wale walinzi wanakuambia nenda kwanza utaijia baadaye hela!sasa swali nikirudia hela utanipa elfu mbili?kwanini niliyembeba askali hukumjibu huna hiyo pesa ili niliyemleta ajue kuwa huna pesa?wanakera sana jamaa na wanadhalau kazi za watu sana!
Siyo kwamba wana hali mbaya,wanatumia pesa zao vibaya,wana posho katikati ya mwezi,mshahara mwisho wa mwezi,bado maruprupu kibao.Wanatumia pesa tu vibaya.
 
Hamza analaumiwa bure ila alikuwa na lake jambo dhidi ya polisi. Mbio mbio wakakimbilia ku-conlude alikuwa gaidi ili kuficha udhulumati waliomtendea.

Ifike mahali kuwe na independent body ya ku-oversee jeshi la polisi. Wana abuse sana mamlaka yao!
Mambo mawili yalinifurahisha sana mwaka huu.
1. Hamza
2. 17.3.2021
Dah
 
kingai si aliitolea maelezo hiyo hela kuwa aliwanunulia watuhumiwa nyama na Mo Energy.

Kama huo utakuwa utetezi wake kuhusu 260,000 basi atakuwa na kazi sana. Itakuwa tayari upekuliwaji ulikwishafanyika na tayari fedha hizo zimekuwa sehemu ya vitu alokutwa navyo mtuhumiwa! Je kuna utaratibu wa kutumia fedha hizo kumnunulia mtuhumiwa aliye mikononi mwa Polisi??
 
chief hayo yanahojiwa katika nchi ya sheria lakini hapa hatufuati sheria. there's no Justice in the jungle.
 
Bahati mbaya hili jambo limetajwa tayari na mtuhumiwa. Pesa hizo sio sehemu ya vilivoandikwa sawa sawa na isivo madawa na bastola na risasi 1 na mwingine 3 huku kesi ni ya kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta na sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi! Ninahoji kwa sababu hata sheria zetu zimeainisha sawa na hao wanaofuata sheria, kutozifuata hauwezi kuwa utetezi wa kutenda kinyume chake.

Mkuu, watu wengi sana wanaonewa kwa vile tu hawana uwezo mkubwa kifedha ku-challenge matendo ya polisi au hata mahakama. Hii kesi ndogo itaathiri sana kesi kubwa! Macho za watu zitafunguka na za wengine zikifunga kwa aibu!
 
Hakuna mabomu, maguruneti, vifaru wa vilipuzi vyovyote vilivyokamatwa vinavyohusika na matendo ya ugaidi lkn bado kuna watu wajinga bado wanaendelea na hii kesi ya ugaidi sjui ni ugaidi wa aina gani

OK twendeni mbele halafu tu rudi nyuma, et mbowe ni gaidi? Duh hii ni Kali ya mwaka, kama mbowe akiwa gaidi mwigulu atakuwa Osama na sabaya atakuwa mullar Omar
 
Leo saa 3 asubuhi tukae mkao wa kusikiliza kesi ya Ugaidi.
 
Wakuu wote heshima sana.

Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.

Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya kujitetea.

Akiongozwa na wakili wa utetezi alibainisha wazi wakati wa ukamataji ACP Kingai alichukua simu zake na fedha kiasi cha Tsh 260,000.

Muungwana ni vitendo ni vyema Kingai akamrejeshea mtuhumiwa fedha zake bila kujali Mtuhumiwa atashinda au atashindwa kesi yake.

Ikiwa ACP Kingai alishatafuna fedha za mtuhumiwa na hali ya uchumi imemkalia vibaya basi atoe namba zake za simu Sisi waTanzania ni watu wenye huruma hakika tutachanga kama tunavyochangia watu wengine bila kinyongo wala hiyana.

Naomba kuwasilisha.
Mkuu,unataka ajikaange mwenyewe?Ila wizi ni mbaya sana i.e kutwaa mali ya mtu bila ruhusa.😝😝😝😝😝
 
Wakuu wote heshima sana.

Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.

Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya kujitetea.

Akiongozwa na wakili wa utetezi alibainisha wazi wakati wa ukamataji ACP Kingai alichukua simu zake na fedha kiasi cha Tsh 260,000.

Muungwana ni vitendo ni vyema Kingai akamrejeshea mtuhumiwa fedha zake bila kujali Mtuhumiwa atashinda au atashindwa kesi yake.

Ikiwa ACP Kingai alishatafuna fedha za mtuhumiwa na hali ya uchumi imemkalia vibaya basi atoe namba zake za simu Sisi waTanzania ni watu wenye huruma hakika tutachanga kama tunavyochangia watu wengine bila kinyongo wala hiyana.

Naomba kuwasilisha.
arejeshe kwanza ndio kesi iendelee
 
Back
Top Bottom