ACT baada ya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, waona mapungufu makubwa!

ACT baada ya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, waona mapungufu makubwa!

Vyama vya upinzani ni bora visingekuwepo. Maana hata kujitambua ni shida. Vingi vipo kimaslahi binafsi zaidi. Tungekuwa na chama kimoja tu cha siasa ya Tanzania ingekuwa imenyooka na ya maslahi mapana ya nchi kuliko hii vurugu ya akina CDM, ACT, CHAUMA nk.
Ni kweli, vyama vya upinzani ili vionekane vinajitambua ni pale vitakapojinyenyekeza kwa ccm.
 
Vyama vya upinzani ni bora visingekuwepo. Maana hata kujitambua ni shida. Vingi vipo kimaslahi binafsi zaidi. Tungekuwa na chama kimoja tu cha siasa ya Tanzania ingekuwa imenyooka na ya maslahi mapana ya nchi kuliko hii vurugu ya akina CDM, ACT, CHAUMA nk.
Usalama wa Taifa ndio ulipàswa kutuundia chama hicho.
 
Bila shaka hii ni baada ya ku saini.

Kwamba?

View attachment 3303604

View attachment 3303603

Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone.

Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo!

Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji popote nalo, limo!
act wakubali kuungana na chadema mazima tu, maana hichi wanachokifanya wakidhani ccm watakua na huruma nao ni commedy
 
Bila shaka hii ni baada ya ku saini.

Kwamba?

View attachment 3303604

View attachment 3303603

Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone.

Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo!

Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji popote nalo, limo!
Documents za mikataba muhimu husainiwa baada ya pande zinazohusika kupata muda wa kuzisoma na kujiridhisha kwamba maudhui yake ndicho kilichokusudiwa na pande zinazohusika na ni halali kisheria.

Kitendo cha signatories kukubali kusaini kabla ya kuelewa makubaliano ni kielelezo cha lack of seriousness on their part. Haraka ilikuwa ya nini?
 
Wasitupotezee muda , kwanini walisaini bila kusoma?

Wanakuwa kama Samia alivyosaini mkataba wa bandari kwa DP world mpaka watu kuja kuuona ndio wanajiuliza aliyesaini alisoma kweli?
 
Pamoja na mapungufu makubwa, bado wali saini yaani! Chadema kitabakiwa kua chama bora cha siasa than any in this country, always kimekua kinatoa DIRA ya taifa na ccm wamekua wana adopt kimya kimya bila ku declare kwamba wame copy from them. Viva Chadema. Viva Tundu and Mbowe, you guys are genius
 
Back
Top Bottom