Hawa wanajielewa na wanasema ukweli 100%.Kama una hoja weka mezani ila uwekezaji wa Bandari ni lazima, hongera sana ACT Wazalendo
View: https://www.instagram.com/reel/CwxCiuWKjdJ/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Mie msukuma Kiswahili huwa kinanisumbua uongo dhambiAngalia na kiswahili chako hiki Sasa!
Mbona umerespond haraka, vipi kwani? 😁Wewe una akili?
Unadhani kwa nini muswada wa mabadiliko ya sheria kuuwezesha mkataba kutekelezeka umeondolewa bungeni na serikali? Presha, presha, presha kila mahali hadi akili iwakae sawaMkataba hauna ubovu Ila nyie chadema kazi yenu ni kupinga kila kitu cha serikali!!
Tena hao kanisa katoliki ndiyo kabisa walikuwa wa kwanza kutuingiza kwenye makucha ya ukoloni nchi hii.Nyie wote mnapinga mkiongozwa na TEC
NakushangaaMbona umerespond haraka, vipi kwani? 😁
Maendeleo anayoiletea Tanzania dk Samia ni hongo tosha kwetu watanzania hatuna cha kumlipa na hatumdai hata shingimia.Umepewa ngapi mkuu?
Sio kwa kuwa upo kwenye kundi hilo?Nakushangaa
Basi INATOSHAMie msukuma Kiswahili huwa kinanisumbua uongo dhambi
Ulitegemea ACT watakuja na point yoyote ya maana?Hakuna anaepinga uwekezaji, kinachopingwa na mkataba mbovu.
Huu mkataba hata Shetani haumuingii akilini.
Ndo anakuja DP world mwenye CV zilizoshiba!!Siyo kila uwekezaji tu unaongeza ufanisi na kuleta tija ndiyo maana mmeachana na TICTS.
Tunasema hatupingi wewe unasema tunapinga! Dunia ngumu sana sana hii.Nyie wote mnapinga mkiongozwa na TEC
SAWA hakuna shida, ila acha kuwa kiazi!We ni kalai akili zako umekabidhi Kwa mbowe mlevi wa konyagi
Hizo ni hisia zenu wapinga maendeleo ule muswaada haukupelekwa kwa ajili ya DP worldUnadhani kwa nini muswada wa mabadiliko ya sheria kuuwezesha mkataba kutekelezeka umeondolewa bungeni na serikali? Presha, presha, presha kila mahali hadi akili iwakae sawa
Bila shaka hii ni historia ya kutoka katika vitabu vya Mohamed SaidTena hao kanisa katoliki ndiyo kabisa walikuwa wa kwanza kutuingiza kwenye makucha ya ukoloni nchi hii. Hao kqnisq katoliki ndiyo walikuwa vinara vya kuuwa wazalendo wa vita vya majimaji kwa jina la kurusedi. Bila hao Tanganyika hata mjerumani asingeitawala. Hao ni wrong number kabisa. Wanaenda mbali kohistoriq ya kuifisadi Afrika mpaka kuuwa bila mpango ujio wao na mreno.
Ninavyoelewa mimi Mamlaka ya Bandari (TPA) wanafanya Watanzania Watoto .
Mjadala kuhusu masuala ya bandari ukaingia kuhusu DP-World ambapo uwekezaji wa DP-World unahusu gati namba 0 hadi Namba 7 . Mjadala mkali ukiwa unaendelea kuhusu DP-World , Serikali kupitia TPA wakachukua advantage ya mjadala wa D-WORLD kutafuta muwekezaji wa gati No.8 hadi 11 kinyemela na bila taarifa kwa umma,sababu waliona watanzania wapo busy na mjadala wa DP-WORLD.TPA Kinyemela wakamtafuta ADANI GROUP kampuni hii ni ya kihindi chini ya familia ya Gautam Adani & Rajaeshi Adani kuendesha Gati namba 8-11 .
We ajuza ni mjinga snTena hao kanisa katoliki ndiyo kabisa walikuwa wa kwanza kutuingiza kwenye makucha ya ukoloni nchi hii.
Hao kqnisq katoliki ndiyo walikuwa vinara vya kuuwa wazalendo wa vita vya majimaji kwa jina la kurusedi.
Bila hao Tanganyika hata mjerumani asingeitawala.
Hao ni wrong number kabisa.
Wanaenda mbali kohistoriq ya kuifisadi Afrika mpaka kuuwa bila mpango ujio wao na mreno.
Hayo maendeleo anayeleta kwako na mumeo sisi hatuyaoniMaendeleo anayoiletea Tanzania dk Samia ni hongo tosha kwetu watanzania hatuna cha kumlipa na hatumdai hata shingimia.