ACT Wazalendo: Bandari ni Hoja ya Kiuchumi, Tunaunga Mkono Uwekezaji

Chadema nyie mmejaa wapiga kelele ukifika uchaguzi hamuendi kupiga Kura mwisho wa siku ni kuzusha mnaibiwa Kura!!
Peleka ujinga mbali, kwamba huwa hatuoni ule ukhanithi unaoendelea wakati wa uchaguzi? Ile kuwaengua wagombea wa upinzani ili wa CCM wapite bila kupingwa nayo ni watu kutokupiga kura? Yale mabox yanayoletwa yakiwa na kura za CCM nayo ni watu kutokupiga kura?
 
Zitto alikuwepo DUBAI wakati mama Abdul anaingia mkataba wa kuuza Tanganyika.
 

Hizi nondo naona umezihifadhi sahemu, unazitandaza tu [emoji23]
 
Hii karatasi ya kufungia maandazi inatofauti gani na ile?
 
Unalazimisha watu wafuata nyayo za CHADEMA kama sio ujinga ni nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…