Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Mwezi wa tano mwaka huu nilikuwa maeneo ya Kigoma. Kwa usafiri wa Basi kutoka Kigoma Mpaka DSM ni mbali Sana. Hayatapungua Masaa 20 ukiwa njiani unaugulia maumivu ya mgongo na kiuno.
Sasa kufuatia tukio la kutekwa kwa ndugu Abdul Nondo ambaye kwa mujibu wa maelezo yake anadai alikuwa anatoka Kigoma kwa Basi Mpaka DSM. Nimejiuliza maswali Mengi Sana
Hivi kijana mwenye cheo cha Mwenyekiti wa vijana bila Shaka ngazi ya taifa kwa chama cha ACT Wazelendo anakosaje usafiri binafsi Mpaka asafiri umbali mrefu kiasi hicho.
Tufanye hakuna Pesa ya gari vipi hata kupanda ndege. Ili kuokoa Muda na mateso ya umbali wa safari ya Kigoma Dsm?
Je ACT Wazalendo hawana pesa ya kurahisisha utumishi wa viongozi wao kama Abdul Nondo?
Je ACT Wazalendo hawajali viongozi wao hasa vijana? Kama hawamjali Mwenyekiti wa ngome ya vijana taifa watamjali kijana yupi?
Je Abdul Nondo ndiye Mbishi hataki kutumia Usafiri aliopewa na chama?
Ndugu Zitto Kabwe embu wafikirie hao vijana hapo ACT Wazalendo wasitie tie huruma.
Mtu ameshafikia nafasi ya juu ya uongozi kumaanisha tayari ni public Figure. Kukosa vitu Vidogo kama Usafiri binafsi ni kumnyanyasa kisaikolojia.
Kijana atatia Tia huruma
Kijana ataathirika kisaikolojia.
Kijana atakuwa anajificha ficha akipita kwenye msongamano WA watu.
Mpeni heshima anayostahili Huyo kijana.
Yaani masaa ishirini kwenye Basi. Loooh! Labda ingekuwa adventure
Kwako johnthebaptist