ACT Wazalendo hivi mnashindwa kununulia viongozi wenu hata kigari cha milioni kumi? Kupanda Saratoga kutoka Kigoma mpaka DSM sio sawa

ACT Wazalendo hivi mnashindwa kununulia viongozi wenu hata kigari cha milioni kumi? Kupanda Saratoga kutoka Kigoma mpaka DSM sio sawa

..Ccm wanapokea ruzuku 3.2 BILLION kila mwezi.

..huenda usafiri wa umma KIUSALAMABumemsaidia Abdul Nondo kuliko angetumia usafiri binafsi.
Ni sahihi Mkuu, lakini pia tuseme Abdul Nondo alikuwa na bahati pia

Kwa maana hata Marehemu Mzee Ali Kibao alichukuliwa akiwa kwenye usafiri wa Umma pia.

Kwahiyo hawa jamaa walipofikia wanaweza kukuteka sehemu yeyote tu kasoro Kanisani ama msikitini tu
 
Umeongea sahihi

Kama sikosei ACT Wazalendo wanapokea Ruzuku zaidi ya milioni 15 Kwa Mwezi

Nafikiri hawawezi kushindwa kuwanunulia ist ama Klugger Viongozi wao wa Kitaifa

Hata hivyo, zipo Benki zinakopesha vyama vyenye Usajili wa kudumu na vyenye kupata Ruzuku hata kama ni milioni 3 Kwa Mwezi

Nafikiri ni ubinafsi tu wa Viongozi wao
Haitoshi. Wanachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kuna watu angalau wawili wa kumpokea na kumsalimia katika kila mji anaopita.

Amandla...
 
mil. 15 uendeshe ofisi na kununua gari unaumwa wewe
Nimetoa maoni yangu kwamba Kuna option ya kukopa pia.

Kwani wakiwakopea hivyo vi-IST 10 kwaajili ya Viongozi wao wanashindwa kulipa Mkopo wa milioni 160 Kwa miaka 2?

Kupanga ni kuchagua
 
Haitoshi. Wanachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kuna watu angalau wawili wa kumpokea na kumsalimia katika kila mji anaopita.

Amandla...
Ama wapewe usaidizi wa walinzi.

Siku hizi Kuna vijana wengi wamehitimu JKT na hawana ajira.

Sidhani kama wanaweza kukosa hela ya kuwalipa mishahara
 
Umefanya vizuri kuwasemea, najua baada ya hili andiko lako, Chama Chao kitafanyia kazi

Kuna jamaa humu anaitwa Masawe Nani aliwahi kumponda Nondo baada ya kumkuta Pale makumbusho stendi akijifichaficha huku akiwepa mvua
 
Ni sahihi Mkuu, lakini pia tuseme Abdul Nondo alikuwa na bahati pia

Kwa maana hata Marehemu Mzee Ali Kibao alichukuliwa akiwa kwenye usafiri wa Umma pia.

Kwahiyo hawa jamaa walipofikia wanaweza kukuteka sehemu yeyote tu kasoro Kanisani ama msikitini tu

..uko sahihi.

..angalau ukitekwa taarifa zitatoka kwa haraka kama kuna watu karibu.
 
Hakuna huo uhusiano.
Asilimia tisini na Tisa ya waliotekwa hawakuwa na magari na hawakuwa katika vyombo vya Usafiri akiwemo huyo Nondo

Kwa nini useme kuna uhusiano wa utekaji na vyombo vya Usafiri?

..acha ubishi.

..tunajaribu kukuelekeza vizuri.

..kadamnasi inasaidia tukio kujulikana kwa haraka.
 
Kuna jamaa humu anaitwa Masawe Nani aliwahi kumponda Nondo baada ya kumkuta Pale makumbusho stendi akijifichaficha huku akiwepa mvua
Kwa mazingira hayo ni rahisi sana kutekwa

Kwa maana anaweza kupewa na mtu kama lift hivi kumbe ndiyo anachukuliwa hivyo

Kufanya Siasa za Upinzani kwenye hii Nchi yenye mifumo na Kila kitu kilichokaa kutetea Chama tawala ni kuhatarisha maisha yako
 
..uko sahihi.

..angalau ukitekwa taarifa zitatoka kwa haraka kama kuna watu karibu.
Ni sahihi Mkuu

Taarifa za Kutekwa Ali Kibao zilitolewa mapema lakini hakuna kilichosaidia

Mwishowe ikaonekana Maiti yake tu

Mbaya zaidi alitekwa akiwa kwenye Basi lililojaa abiria 65 ama zaidi ambao hawakuweza hata kumsaidia masikini 🙌
 
..ukiwa eneo la watu wengi, halafu ukapiga kelele, na kufurukuta, watekaji lazima wataingia mawenge, na upo uwezekano wa kukuachia, au kuacha ushahidi utakaosaidia kupatikana kwako.
 
..ukiwa eneo la watu wengi, halafu ukapiga kelele, na kufurukuta, watekaji lazima wataingia mawenge, na upo uwezekano wa kukuachia, au kuacha ushahidi utakaosaidia kupatikana kwako.
Ni sahihi Mkuu, ila kama una Vijana wako wakati huu wa Likizo wapeleke training ya Judo/Karate n.k

Kwa maana hizi Siasa za kutekana zilizokwisha asisiwa, haziwezi kuisha Leo ama kesho

Self defense ni muhimu sana

Hata kama utatekwa, lakini walau mtu mmoja ama wawili kati yao lazima uwatoboe macho
 
..kuna clip fulani ambapo Mdude Nyagali anaeleza alivyoponea kutekwa.

..jamaa walimpigia simu wakimuandalia mtego wamteke.

..sasa Mdude akawa mjanja akawalengesha wakutane eneo ambalo kuna watu wengi.

..matokeo yake ni kwamba utekaji ulishindikana, na ikabidi Mdude akamatwe kwa utaratibu huku Polisi rasmi wakihusika.

..Yaani ile crowd / kadamnasi ilibadilisha utekaji, kuwa ukamataji tena wa Polisi.
 
Kwema Wakuu!

Mwezi wa tano mwaka huu nilikuwa maeneo ya Kigoma. Kwa usafiri wa Basi kutoka Kigoma Mpaka DSM ni mbali Sana. Hayatapungua Masaa 20 ukiwa njiani unaugulia maumivu ya mgongo na kiuno.

Sasa kufuatia tukio la kutekwa kwa ndugu Abdul Nondo ambaye kwa mujibu wa maelezo yake anadai alikuwa anatoka Kigoma kwa Basi Mpaka DSM. Nimejiuliza maswali Mengi Sana

Hivi kijana mwenye cheo cha Mwenyekiti wa vijana bila Shaka ngazi ya taifa kwa chama cha ACT Wazelendo anakosaje usafiri binafsi Mpaka asafiri umbali mrefu kiasi hicho.

Tufanye hakuna Pesa ya gari vipi hata kupanda ndege. Ili kuokoa Muda na mateso ya umbali wa safari ya Kigoma Dsm?

Je ACT Wazalendo hawana pesa ya kurahisisha utumishi wa viongozi wao kama Abdul Nondo?

Je ACT Wazalendo hawajali viongozi wao hasa vijana? Kama hawamjali Mwenyekiti wa ngome ya vijana taifa watamjali kijana yupi?

Je Abdul Nondo ndiye Mbishi hataki kutumia Usafiri aliopewa na chama?

Ndugu Zitto Kabwe embu wafikirie hao vijana hapo ACT Wazalendo wasitie tie huruma.
Mtu ameshafikia nafasi ya juu ya uongozi kumaanisha tayari ni public Figure. Kukosa vitu Vidogo kama Usafiri binafsi ni kumnyanyasa kisaikolojia.

Kijana atatia Tia huruma
Kijana ataathirika kisaikolojia.
Kijana atakuwa anajificha ficha akipita kwenye msongamano WA watu.

Mpeni heshima anayostahili Huyo kijana.

Yaani masaa ishirini kwenye Basi. Loooh! Labda ingekuwa adventure

Kwako johnthebaptist
Umewasahau Chadema walitumia Corolla ya Chacha Wangwe vizuri?
Kuwa na kagali siyo solution.
 
Tena wapo kwenye Serikali huko Zanzibar, waache ubahili katika kuwahudumia Viongozi.
 
Naunga mkono HOJA but; angetumia usafiri private wallah angetekwa na hakuna mtu angejua; sometimes public transports ina security kubwa kuliko private. Hilo la ndege walau
 
Back
Top Bottom