BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Hapana wanunuliwe ila mipango yao ya usafiri nyakati hizi za utekaji na mauaji iandaliwe kwa jicho la pili.Kwa hiyo viongozi wasinunuliwe Usafiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana wanunuliwe ila mipango yao ya usafiri nyakati hizi za utekaji na mauaji iandaliwe kwa jicho la pili.Kwa hiyo viongozi wasinunuliwe Usafiri?
wa sasa Siasa ni biashara kweli na inalipa sana au sio ndugu. ??!Kwema Wakuu!
Mwezi wa tano mwaka huu nilikuwa maeneo ya Kigoma. Kwa usafiri wa Basi kutoka Kigoma Mpaka DSM ni mbali Sana. Hayatapungua Masaa 20 ukiwa njiani unaugulia maumivu ya mgongo na kiuno.
Sasa kufuatia tukio la kutekwa kwa ndugu Abdul Nondo ambaye kwa mujibu wa maelezo yake anadai alikuwa anatoka Kigoma kwa Basi Mpaka DSM. Nimejiuliza maswali Mengi Sana
Hivi kijana mwenye cheo cha Mwenyekiti wa vijana bila Shaka ngazi ya taifa kwa chama cha ACT Wazelendo anakosaje usafiri binafsi Mpaka asafiri umbali mrefu kiasi hicho.
Tufanye hakuna Pesa ya gari vipi hata kupanda ndege. Ili kuokoa Muda na mateso ya umbali wa safari ya Kigoma Dsm?
Je ACT Wazalendo hawana pesa ya kurahisisha utumishi wa viongozi wao kama Abdul Nondo?
Je ACT Wazalendo hawajali viongozi wao hasa vijana? Kama hawamjali Mwenyekiti wa ngome ya vijana taifa watamjali kijana yupi?
Je Abdul Nondo ndiye Mbishi hataki kutumia Usafiri aliopewa na chama?
Ndugu Zitto Kabwe embu wafikirie hao vijana hapo ACT Wazalendo wasitie tie huruma.
Mtu ameshafikia nafasi ya juu ya uongozi kumaanisha tayari ni public Figure. Kukosa vitu Vidogo kama Usafiri binafsi ni kumnyanyasa kisaikolojia.
Kijana atatia Tia huruma
Kijana ataathirika kisaikolojia.
Kijana atakuwa anajificha ficha akipita kwenye msongamano WA watu.
Mpeni heshima anayostahili Huyo kijana.
Yaani masaa ishirini kwenye Basi. Loooh! Labda ingekuwa adventure
Kwako johnthebaptist
Haya mambo hayupo wa kuyakemea, mwisho wa Siku yanaachwa yaendelee..kuna clip fulani ambapo Mdude Nyagali anaeleza alivyoponea kutekwa.
..jamaa walimpigia simu wakimuandalia mtego wamteke.
..sasa Mdude akawa mjanja akawalengesha wakutane eneo ambalo kuna watu wengi.
..matokeo yake ni kwamba utekaji ulishindikana, na ikabidi Mdude akamatwe kwa utaratibu huku Polisi rasmi wakihusika.
..Yaani ile crowd / kadamnasi ilibadilisha utekaji, kuwa ukamataji tena wa Polisi.
Ni sahihi Mkuu, lakini pia tuseme Abdul Nondo alikuwa na bahati pia
Kwa maana hata Marehemu Mzee Ali Kibao alichukuliwa akiwa kwenye usafiri wa Umma pia.
Kwahiyo hawa jamaa walipofikia wanaweza kukuteka sehemu yeyote tu kasoro Kanisani ama msikitini
Nchi hii wengi wetu ni Zero Brain 🧠 🙄😳 !Kama angekuwa na gari hangetekwa?
Hukumbuki mara ya mwisho waliweka Kambi nje ya Kabisa la St. Peters wakimsubiri Mnyika aliyekuwa humo ndani akisaliKwani Kanisani au Msikitini wanamuogopa Mungu ???! Au ???!
Basi Angalau kumbe wanamuogopa Mungu 🙏Hukumbuki mara ya mwisho waliweka Kambi nje ya Kabisa la St. Peters wakimsubiri Mnyika aliyekuwa humo ndani akisali
Kwenye hizo nyumba za Ibada wengi wanaogopa kuingia na kufanya hizo operations zao za kuteka watu
Wanaogopa wakubwa zao kuandamwa na Kanisa ama Misikiti, ila wao hawamwogopi Mungu kwani Wana Imani wao wataishi Milele kwenye hii DuniaBasi Angalau kumbe wanamuogopa Mungu 🙏
Hatari sana !Wanaogopa wakubwa zao kuandamwa na Kanisa ama Misikiti, ila wao hawamwogopi Mungu kwani Wana Imani wao wataishi Milele kwenye hii Dunia
Hicho chama Kwa Sasa kimeshatekwa na wapembaKwema Wakuu!
Mwezi wa tano mwaka huu nilikuwa maeneo ya Kigoma. Kwa usafiri wa Basi kutoka Kigoma Mpaka DSM ni mbali Sana. Hayatapungua Masaa 20 ukiwa njiani unaugulia maumivu ya mgongo na kiuno.
Sasa kufuatia tukio la kutekwa kwa ndugu Abdul Nondo ambaye kwa mujibu wa maelezo yake anadai alikuwa anatoka Kigoma kwa Basi Mpaka DSM. Nimejiuliza maswali Mengi Sana
Hivi kijana mwenye cheo cha Mwenyekiti wa vijana bila Shaka ngazi ya taifa kwa chama cha ACT Wazelendo anakosaje usafiri binafsi Mpaka asafiri umbali mrefu kiasi hicho.
Tufanye hakuna Pesa ya gari vipi hata kupanda ndege. Ili kuokoa Muda na mateso ya umbali wa safari ya Kigoma Dsm?
Je ACT Wazalendo hawana pesa ya kurahisisha utumishi wa viongozi wao kama Abdul Nondo?
Je ACT Wazalendo hawajali viongozi wao hasa vijana? Kama hawamjali Mwenyekiti wa ngome ya vijana taifa watamjali kijana yupi?
Je Abdul Nondo ndiye Mbishi hataki kutumia Usafiri aliopewa na chama?
Ndugu Zitto Kabwe embu wafikirie hao vijana hapo ACT Wazalendo wasitie tie huruma.
Mtu ameshafikia nafasi ya juu ya uongozi kumaanisha tayari ni public Figure. Kukosa vitu Vidogo kama Usafiri binafsi ni kumnyanyasa kisaikolojia.
Kijana atatia Tia huruma
Kijana ataathirika kisaikolojia.
Kijana atakuwa anajificha ficha akipita kwenye msongamano WA watu.
Mpeni heshima anayostahili Huyo kijana.
Yaani masaa ishirini kwenye Basi. Loooh! Labda ingekuwa adventure
Kwako johnthebaptist
Kwema Wakuu!

Hakika 🙏🙏Hatari sana !
Duniani tunapita tu !
Na malipo kwanza ni hapa hapa hata kwa Vizazi vitakavyofuata !
Tumuogope Mungu 🙏🙏
Hawawezi kukataa kwa sababu kuna Abdul Nondo wa ACT Wazalendo na kuna Abdul Nondo wa Kigoma mwenye mahitaji yake binafsi na ndoto zakeHalafu wanategemea wakipewa Bahasha na Ccm wakatae!
Zito kabwe kauchuna tu humu