ACT Wazalendo hivi mnashindwa kununulia viongozi wenu hata kigari cha milioni kumi? Kupanda Saratoga kutoka Kigoma mpaka DSM sio sawa

Umeongea sahihi

Kama sikosei ACT Wazalendo wanapokea Ruzuku zaidi ya milioni 15 Kwa Mwezi

Nafikiri hawawezi kushindwa kuwanunulia ist ama Klugger Viongozi wao wa Kitaifa

Hata hivyo, zipo Benki zinakopesha vyama vyenye Usajili wa kudumu na vyenye kupata Ruzuku hata kama ni milioni 3 Kwa Mwezi

Nafikiri ni ubinafsi tu wa Viongozi wao
 

Hawa kina Nondo ni vijana wetu
Wanawasemea Watanzania huku wao hakuna wa kuwasemea
 
They are taking things for granted
 
Angekuwa anakuja na gari binafsi asingepita akiwa hai kwenye misitu kati ya Kigoma na Tabora.
Kama ni ndege basi tukumbuke jinsi Godbless Lema 'alivyotekwa' airport baada ya kuja nayo toka KIA to JNIA.
No where to hide in a police state.

Kwa hiyo viongozi wasinunuliwe Usafiri?
 
Ndio hawatatekwa?
 
mil. 15 uendeshe ofisi na kununua gari unaumwa wewe
 
Kwa sasa, usafiri wa umma ndio salama zaidi kwa viongozi wa upinzani na wana harakati. Kinyume na hapo, ikiwa watatumia usafiri binafsi kwenye safari za masafa, wengi wanaweza kukamatwa, kutekwa, kuuwawa kirahisi mnoo na tusijue chochote, milele na milele.
 

..Ccm wanapokea ruzuku 3.2 BILLION kila mwezi.

..huenda usafiri wa umma KIUSALAMABumemsaidia Abdul Nondo kuliko angetumia usafiri binafsi.
 

..Tundu Lissu alitumia usafiri binafsi ikawa rahisi kumshambulia, na karibia auwawe.

..Abdul Nondo angekuwa ktk gari binafsi angeweza kusetiwa ambush, au angetengenezewa ajali mbaya ya barabarani.
 
..Tundu Lissu alitumia usafiri binafsi ikawa rahisi kumshambulia, na karibia auwawe.

..Abdul Nondo angekuwa ktk gari binafsi angeweza kusetiwa ambush, au angetengenezewa ajali mbaya ya barabarani.

Kama ukisoma nilichoandika sijahusianisha utekaji na matumizi ya vyombo vya Usafiri

Elewa ujumbe wa nilichoandika
 

Kama utekaji upo sponsored na stated hata angepanda ndege au sgr hawezi kuepuka.

Mimi nazungumzia ishu nyingine
 
..ndio tunakuelimisha sasa uliangalie suala hilo ktk mapana yake.

..kuna uhusiano kati ya utekaji, usalama, na matumizi ya vyombo vya usafiri.

Hakuna huo uhusiano.
Asilimia tisini na Tisa ya waliotekwa hawakuwa na magari na hawakuwa katika vyombo vya Usafiri akiwemo huyo Nondo

Kwa nini useme kuna uhusiano wa utekaji na vyombo vya Usafiri?
 
Hata mimi nimeshangaa Kiongozi wa Kitaifa anapanda saratoga, sjuii Mabrouk, majinja, nbc etc???

Hii haikubaliki wakuu, AcT waache ubahiri aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…