ACT Wazalendo hivi mnashindwa kununulia viongozi wenu hata kigari cha milioni kumi? Kupanda Saratoga kutoka Kigoma mpaka DSM sio sawa

K
wa sasa Siasa ni biashara kweli na inalipa sana au sio ndugu. ??!
Lakini hapo zamani Mwalimu Nyerere alikuwa anatembea kwa miguu yake kutokea Pugu alikokuwa akifanya kazi mpaka viunga vya Kariakoo kwa ajili ya kukutana na wanachama na Viongozi wenzake katika mikakati yao ya kudai UHURU na mpaka Uhuru Ukapatikana !!

Kwa sasa Sihasa ni biashara muzuri ni lazima kila mutu pale iwe na motokari yake !!
Miaka inaenda mbio sana !πŸ™„πŸ˜³πŸ˜± !
 
Haya mambo hayupo wa kuyakemea, mwisho wa Siku yanaachwa yaendelee

Ila mwisho wake utakuwa mbaya sana

Let's wait and see
 
Mtu akiwa anasafiri kwa Gari binafsi anakuwa hatekeki au vipi ??!!
Tuzingumzie kwanini watu wanatekwa sio kwanini Viongozi kama Nondo anasafiri kwa Basi !!
Hata ukisafiri kwa Ndege kama wapo watekaji watajua watampata kwa namna gani !
Point ni moja tu kwanini Watu watekwe ???!!!
 
MKuu unaichukulia ACT kama CCM ambayo inachota tu fedha za uma ikijinufaisha?
 
Kwani Kanisani au Msikitini wanamuogopa Mungu ???! Au ???!
 
Kwani Kanisani au Msikitini wanamuogopa Mungu ???! Au ???!
Hukumbuki mara ya mwisho waliweka Kambi nje ya Kabisa la St. Peters wakimsubiri Mnyika aliyekuwa humo ndani akisali

Kwenye hizo nyumba za Ibada wengi wanaogopa kuingia na kufanya hizo operations zao za kuteka watu
 
Hukumbuki mara ya mwisho waliweka Kambi nje ya Kabisa la St. Peters wakimsubiri Mnyika aliyekuwa humo ndani akisali

Kwenye hizo nyumba za Ibada wengi wanaogopa kuingia na kufanya hizo operations zao za kuteka watu
Basi Angalau kumbe wanamuogopa Mungu πŸ™
 
Wanaogopa wakubwa zao kuandamwa na Kanisa ama Misikiti, ila wao hawamwogopi Mungu kwani Wana Imani wao wataishi Milele kwenye hii Dunia
Hatari sana !
Duniani tunapita tu !
Na malipo kwanza ni hapa hapa hata kwa Vizazi vitakavyofuata !
Tumuogope Mungu πŸ™πŸ™
 
Hicho chama Kwa Sasa kimeshatekwa na wapemba
 
Bora wapande hayo mabasi ama treni kama wanawajali sana ndege itafaa hasa kwa usafiri wa mbali kama huko kigoma. Kwa wanavyowindwa hivi akisafiri kwa gari binafsi tokea kigoma wakamvizia porini huko hakuna wa kutoa hata taarifa (kutoa msaada wanaogopa shaba). Kwa hiyo bora usafir wa public sintofahamu inapunguzwa.
 
Angekuwa na gari yake uenda ingekuwa very simple kumaliza hyo plan yke lkn gari la public lilichochea kuleta ugumu jinsi ya kumteka nadhani kidgo kwenye usafiri wa ndege.
 

Halafu wanategemea wakipewa Bahasha na Ccm wakatae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…