Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Amka mkuu acha kuota. Kwa sasa bila wananchi wenyewe kuacha ukondoo ccm haiwezi kuodnoka madarakani ukiachilia mbali kuwa itashinda kihalali kabisa kwa kura za urais ila kwakuwa ccm huwa haitosheki bado itaiba ili ionekane imeshinda kwa kishindo sana.Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika Leo huku chama kinaenda kushinda uraisi kupitia mgombea wake ambaye atakuwa tundu lissu huu ni asilmia 100 upinzani unaenda kuchukua nchi nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi kuondoshwa Kwa chama Cha mapinduzi madarakani
Sawa tukutane mwakani naona unatatizo la afya ya akiliAmka mkuu acha kuota. Kwa sasa bila wananchi wenyewe kuacha ukondoo ccm haiwezi kuodnoka madarakani ukiachilia mbali kuwa itashinda kihalali kabisa kwa kura za urais ila kwakuwa ccm huwa haitosheki bado itaiba ili ionekane imeshinda kwa kishindo sana.
Kina Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa watakimbilia huko tena aliko Lissu wakajambe kunuke na huko, watasema chama ni cha zito amekipambania mpaka kikapata umaarufu. Nadhani itapendeza sana lissu atimkie kule kuna wapiga kura wengi kuliko chauma ya hashim rungweNajua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika Leo huku chama kinaenda kushinda uraisi kupitia mgombea wake ambaye atakuwa tundu lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi kuondoshwa Kwa chama Cha mapinduzi madarakani hongereni act wazalendo nyie ndio wakombozi ambao mungu kawapa funguo
Hawatoweza act ITASHINDA UCHAGUZI mungu yupo na act mileleKina Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa watakimbilia huko tena aliko Lissu wakajambe kunuke na huko, watasema chama ni cha zito amekipambania mpaka kikapata umaarufu. Nadhani itapendeza sana lissu atimkie kule kuna wapiga kura wengi kuliko chauma ya hashim rungwe
HujitambuiAkiingia Tundu Lissu ikulu naingia porini kumng'oa hata kama nitatumia gobore. Siwezi kuvumilia kuiona nchi yangu ikidhalilika kiasi hicho....
SawaHiki ni kituko cha siku😆
Endelea kuota ndoto mtashangazwa vibaya sana na act ya lissu 2025Hizi ni ndoto man kila mtu anakuwa nazo tukisema tuandike kila mtu ndoto zake hapatoshi hapa.Sema uhalisia hauko hivyo
Endelea kuota na wewe kama ni rahisi lissu anaingia mjengoni mtake msitake hiki chama Cha kizalendoHizi sasa ndizo ndoto zenye manufaa kwa muotaji. Unaota bila mipaka, yaani kama unaota umeona choo unakitumia kwa haja zote, sio unashtuka kabla ya haja kubwa.
Nyie viroboto wake ndo hamjitambuiHujitambui
Narudia Hujitambui we ni kubwa jingaNyie viroboto wake ndo hamjitambui
Hakuna kitu hapa kiongoziEndelea kuota ndoto mtashangazwa vibaya sana na act ya lissu 2025