Pre GE2025 ACT Wazalendo inaenda kushinda Urais 2025

Pre GE2025 ACT Wazalendo inaenda kushinda Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi

Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi kuondoshwa Kwa Chama Cha Mapinduzi madarakani

Hongereni ACT Wazalendo nyie ndio wakombozi ambao Mungu kawapa funguo sababu nyie ni wazalendo wa kweli hongera rais mtarajiwa Tundu antiphas lissu mzale do wa kweli ataeungana na wazalendo wenzake kupambania nchi 2025
Urais wa kuvaa nguo za zambarau au ikulu na kuongoza nchi? Labda CCM iwe imelala usingizi mkubwa sana.
 
Siyo kazi rahisi, kuiangusha CCM kunahitaji watu wazalendo wa kweli hata akidondoshewa bahasha anaikemea, siyo watu wenye uchu na Madaraka tu
Watu wa namna hiyo wapo wengi. Tatizo walikosa wa kuwaongoza. Lakini Lisu akiwa kiongozi mkuu, tutashuhudia jinsi mamilioni ya watanzania watakaosimama naye.

Lisu kwa sasa ndiye mtu maarufu na mwenye mvuto mkubwa kisiasa kuliko mtu yeyote nchini Tanzania.
 
Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi

Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi kuondoshwa Kwa Chama Cha Mapinduzi madarakani

Hongereni ACT Wazalendo nyie ndio wakombozi ambao Mungu kawapa funguo sababu nyie ni wazalendo wa kweli hongera rais mtarajiwa Tundu antiphas lissu mzale do wa kweli ataeungana na wazalendo wenzake kupambania nchi 2025
Labda Tundu Lissu mwenyewe abadilishe msimamo (maana wanasiasa hawatabiriki), otherwise alisema hata akishindwa hatahama maana yeye awe kiongozi au asiwe ni mwanamageuzi kwa hali yoyote atakayokuwemo. Pili Kwa haya aliyosababisha Chadema, anaweza pia kusababisha katika chama kingine chochote atakachoamua kujiunga. Sidhani kama akishaamua jambo kuna mtu wa kumshauri akaacha. Kuna mtu mmoja amewachambua Mbowe na Lissu kwenye mtandao wa X -strengths na weaknesses zao wote wawili. Na moja ya weaknesses za Tundu Lissu huyo mchambuzi akasema akipata madaraka ni 'dictator'. Hasikilizi ushauri wa mtu, anataka mambo yaende anavyotaka yeye. Wakati fulani nilimuuliza lecturer mmoja wa DUCE anamwonaje Lissu. Naye maoni yake yalikuwa kwamba akiwa kiongozi wa juu ni dictator maana anajiona ni yeye tu aliye sahihi. Of course, mimi nikimwona kama mpambanaji, lakini inawezekana akawa na hizi chembe chembe pia. Kama ni kweli, then alichosema kwa Magufuli ilikuwa 'projection' - yaani kwamba tatizo ulilonalo wewe hulioni kwako, bali unaliona (project) kwa wengine wenye tabia kama yako.
 
Back
Top Bottom