Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #61
Wachaga naona mnajinyeanyeaAtakuwa rais wa wake za wanaume wote wa ACT 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachaga naona mnajinyeanyeaAtakuwa rais wa wake za wanaume wote wa ACT 😂😂
CCM haishindi kihalali. Sikiliza: CCM ingekuwa na uhakika kuwa kwenye uchaguzi wa urais itapata walau 55% ya kura, ingeachia uchaguzi uwe wa haki na wangekuwa wanatamba kweli kweli wao ni wana demokrasia. Pengine hujui hili: Ngoja nikuelimishe. Kabla ya kila uchaguzi, CCM kwa kutumia TISS na wataalam wazuri sana wa kukusanya kura za maoni, hufanya tathmini ya ni kwa namna gani chama na wagombea wake wanavyokubalika. Kura ya maoni ikifanywa kwa kitaalam inaweza kuwa kiashiria kizuri za cha kutoa matokeo ya uchaguzi yatakavyokuwa, japo siyo kwa asilimia zote. Hivyo basi CCM huwa wanaiba kura kwa sababu mara nyingi wanapofanya kura za maoni hugundua kuwa hawakubaliki.Amka mkuu acha kuota. Kwa sasa bila wananchi wenyewe kuacha ukondoo ccm haiwezi kuodnoka madarakani ukiachilia mbali kuwa itashinda kihalali kabisa kwa kura za urais ila kwakuwa ccm huwa haitosheki bado itaiba ili ionekane imeshinda kwa kishindo sana.
Kama hukuchanjwa wewe basi alichanjwa babu yako, unachomokaje kwenye chanjo ya kitaifa ilhali alichanjwa ukiwa wodini?Kichaa wewe mimi sijawahi kuchanjwa hayo makitu na huyo taira na Hana mchango wowote kwenye maisha yangu
Kwa wapiga kura gani waliokuwa nao hao ACT. Kuna tarafa moja ukiondoa wanachama hata bendera tu inayotambulisha kuwepo kwa hicho chama haipo!!!???!!!Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi
Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi kuondoshwa Kwa Chama Cha Mapinduzi madarakani
Hongereni ACT Wazalendo nyie ndio wakombozi ambao Mungu kawapa funguo sababu nyie ni wazalendo wa kweli hongera rais mtarajiwa Tundu antiphas lissu mzale do wa kweli ataeungana na wazalendo wenzake kupambania nchi 2025
Hujielewi weKwa wapiga kura gani waliokuwa nao hao ACT. Kuna tarafa moja ukiondoa wanachama hata bendera tu inayotambulisha kuwepo kwa hicho chama haipo!!!???!!!
Ulikua mke wa huyo fala nini mbona unamfagilia sana huyo nyani mwenzio maana naona unatikisa mkia wako wa kinyeo kumfagiliaKama hukuchanjwa wewe basi alichanjwa babu yako, unachomokaje kwenye chanjo ya kitaifa ilhali alichanjwa ukiwa wodini?
We fala kweli kweli 😂😂
Kwani 2025 kunauchaguzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 niulize mimi ..2025 kuna virungu na risasi tu ...2025 hakuna uchaguziNajua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi
Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi kuondoshwa Kwa Chama Cha Mapinduzi madarakani
Hongereni ACT Wazalendo nyie ndio wakombozi ambao Mungu kawapa funguo sababu nyie ni wazalendo wa kweli hongera rais mtarajiwa Tundu antiphas lissu mzale do wa kweli ataeungana na wazalendo wenzake kupambania nchi 2025
Angekuwa fala usingempa kalio adunge sindano..Ulikua mke wa huyo fala nini mbona unamfagilia sana huyo nyani mwenzio maana naona unatikisa mkia wako wa kinyeo kumfagilia
Kumbe ulimpa kalio huyo bwege aisee kweli ndio maana umeshakua punga pole sana Kwa kupoteza marinda naona ndio maana umedata sikujibu tena kumbe najibizana na punga🤣🤣🤣🤣Angekuwa fala usingempa kalio adunge sindano..
Wewe ndio fala na kupitia wewe unaishi chini ufala wako mwenyewe gay wahed weye
Punga ni wewe na wote unaoishi nao...Kumbe ulimpa kalio huyo bwege aisee kweli ndio maana umeshakua punga pole sana Kwa kupoteza marinda naona ndio maana umedata sikujibu tena kumbe najibizana na punga🤣🤣🤣🤣
SijuiUrais wa wapi?
Mkuu kwani nimekupinga?Endelea kuota na wewe kama ni rahisi lissu anaingia mjengoni mtake msitake hiki chama Cha kizalendo
Uhuru wa kuandika umezidi sasaNajua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi
Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi kuondoshwa Kwa Chama Cha Mapinduzi madarakani
Hongereni ACT Wazalendo nyie ndio wakombozi ambao Mungu kawapa funguo sababu nyie ni wazalendo wa kweli hongera rais mtarajiwa Tundu antiphas lissu mzale do wa kweli ataeungana na wazalendo wenzake kupambania nchi 2025
Saccos ya Mbowe imshinde halafu aje aishinde CCM?Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi
Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi kuondoshwa Kwa Chama Cha Mapinduzi madarakani
Hongereni ACT Wazalendo nyie ndio wakombozi ambao Mungu kawapa funguo sababu nyie ni wazalendo wa kweli hongera rais mtarajiwa Tundu antiphas lissu mzale do wa kweli ataeungana na wazalendo wenzake kupambania nchi 2025
HujitambuiUhuru wa kuandika umezidi sasa
HujielewiSaccos ya Mbowe imshinde halafu aje aishinde CCM?
Kapimwe akili.
Hujitambui hamna aliezaliwa Kwa ajili Yako pambana na Hali yakoBora Nyerere asingepambania uhuru km wananchi wenyewe ndio hawa