Suala la polepole na nchimbi lipo tofauti ki uzaniSuala la Pole Pole, watu walienda mahakamani, ila hatma na hukumu haijulikani....#Bringback Polepole& Nchimbi
Nimekupata mkuu.Duh...!, hawa nao!, they politicizing everything!.
Kabla mtu yeyote hajamuulizia Nchimbi, awe amekwenda nyumbani kwake kumuulizia, familia, ndugu zake, jamaa na marafiki, wakalalamika hawajui alipo, na waende kumtafuta sehemu ya mwisho alipokuwepo na whawakumkuta, ndipo ACT watakuwa na kitu kinachoitwa kisheria lucust stand ya kumuulizia kisheria.
Maadam hatujasikia familia yake au ndugu yake yeyote kumuulizia, then hiki nilichoambiwa
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza! ni kweli !
Ila pia huu ni uthibitisho sisi Watanzania ni mazuzu, na media zetu ni za kizuzu
Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?
Mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba
Je, Wajua Japo Tanzania Ilipaswa Kutawaliwa na Ukuu wa Katiba, Lakini Inatawaliwa na Ukuu wa Chama?. Mbele ya Chama, Katiba si Lolote, si Chochote!
P.
ok.View attachment 3669698
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama.
Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
Leo kwa dakika kadhaa nakuwa mwanachama wa ACT Wazalendo!View attachment 3669698
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama.
Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
Whatever, wote ni maccm na wote ni binadamu! Wote waliwahi kuwa mabalozi piaSuala la polepole na nchimbi lipo tofauti ki uzani
Una hakika nyumbani jwake oanaingilika na yupo?Duh...!, hawa nao!, they politicizing everything!.
Kabla mtu yeyote hajamuulizia Nchimbi, awe amekwenda nyumbani kwake kumuulizia, familia, ndugu zake, jamaa na marafiki, wakalalamika hawajui alipo, na waende kumtafuta sehemu ya mwisho alipokuwepo na whawakumkuta, ndipo ACT watakuwa na kitu kinachoitwa kisheria lucust stand ya kumuulizia kisheria.
Maadam hatujasikia familia yake au ndugu yake yeyote kumuulizia, then hiki nilichoambiwa
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza! ni kweli !
Ila pia huu ni uthibitisho sisi Watanzania ni mazuzu, na media zetu ni za kizuzu
Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?
Mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba
Je, Wajua Japo Tanzania Ilipaswa Kutawaliwa na Ukuu wa Katiba, Lakini Inatawaliwa na Ukuu wa Chama?. Mbele ya Chama, Katiba si Lolote, si Chochote!
P.
Ulifika ukashindwa kuingia?Una hakika nyumbani jwake oanaingilika na yupo?
Una hakika anapatikana nyumbani kwake?
Unajuaje watu hawajaenda nyumbani kwake?
Huyu kama Makamu wa Rais Mstaafu anayetakiwa kupewa ulinzi wa serikali muda wote, wananchi hawawezi kuanzisha kesi ya Habeas Corpus kudai awasilishwe hadharani wamuone, wamuhoji kwa nini kajiuzulu, wahakiki kama kweli kajiuzulu na barua anayodaiwa kuandika kaiandika yeye kweli?
katika records polepole anapotea akiwa hana hadhi ya ubaloziWhatever, wote ni maccm na wote ni binadamu! Wote waliwahi kuwa mabalozi pia
Hujajibu maswali unauliza mengine.Ulifika ukashindwa kuingia?
Unaweza kuwaleta watu waliofika kwake tuwaulize?
Barua ya kujiudhuru haina nguvu, ukivuliwa uanachama unakosa nguvu ya kuendelea kubaki ofisini kwa kuwa unakosa udhamini wa chama. Ikumbukwe hatuna mgombea binafsi ktk sheria zetu.
Ukivuliwa unaweza kwenda kama Covid19. Huyu sidhani kama anaweza fungua shauri mahakamani kupinga mchakato husika.
Ikiwezekana ndg Kiranga ukafungue kwa niaba yake au watanzania kama alivyofanya Zito kwa Asad
kwakua wamemvua uanachama , kujiuzuu kwake hakuna nguvu sana, kwa muundo uliopo cheo cha makamu wa rais anayekidhibiti ni rais (mwenyekiti wao)Una hakika nyumbani jwake oanaingilika na yupo?