ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

Duh...!, hawa nao!, they politicizing everything!.
Kabla mtu yeyote hajamuulizia Nchimbi, awe amekwenda nyumbani kwake kumuulizia, familia, ndugu zake, jamaa na marafiki, wakalalamika hawajui alipo, na waende kumtafuta sehemu ya mwisho alipokuwepo na whawakumkuta, ndipo ACT watakuwa na kitu kinachoitwa kisheria lucust stand ya kumuulizia kisheria.

Maadam hatujasikia familia yake au ndugu yake yeyote kumuulizia, then hiki nilichoambiwa

Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza! ni kweli !​

Ila pia huu ni uthibitisho sisi Watanzania ni mazuzu, na media zetu ni za kizuzu

Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?​

Mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba

Je, Wajua Japo Tanzania Ilipaswa Kutawaliwa na Ukuu wa Katiba, Lakini Inatawaliwa na Ukuu wa Chama?. Mbele ya Chama, Katiba si Lolote, si Chochote!​

P.
Mzee pasco! Unatuchanganya

changamoto hapa inategemea tunachukua angle ipi, Nchimbi kama VP mstaafu tunamzalimishaje atoke tumuone kama yeye hataki? kama familia yake ipo kimya haijalalamika hawa wananchi wanaotaka kumuona nchimbi hawaingilii uhuru wake wa kukaa kimya?

hizi zingine zote ni speculation , unless mtu atoe ushahidi kwamba nchimbi ameshikiliwa

Unajuaje Nchimbi yupo na hajauawa kama hajatolewa hadharani?

Kama Nchimbi anataka kukaa kimya kwani anashindwa kutoka mara moja akasema nipo salama nataka kukaa kimya?

Unaelewa kuwa anayelazimishwa kumuonesha Nchimbi ni serikaki hapa?

Unafahamu wajibu wa serikaki chini ya Habeas Corpus, hususan kwa sababu Nchimbi kama Makamu wa Rais Mstaafu ana ulinzi wa serikali?

Unaelewa kuwa sasa hivi kabla Nchimbi hajaonekana kuna uwezekano kuwa kashauawa na ndiyo maana haonekani?
 
Duh...!, hawa nao!, they politicizing everything!.
Kabla mtu yeyote hajamuulizia Nchimbi, awe amekwenda nyumbani kwake kumuulizia, familia, ndugu zake, jamaa na marafiki, wakalalamika hawajui alipo, na waende kumtafuta sehemu ya mwisho alipokuwepo na whawakumkuta, ndipo ACT watakuwa na kitu kinachoitwa kisheria lucust stand ya kumuulizia kisheria.

Maadam hatujasikia familia yake au ndugu yake yeyote kumuulizia, then hiki nilichoambiwa

Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza! ni kweli !​

Ila pia huu ni uthibitisho sisi Watanzania ni mazuzu, na media zetu ni za kizuzu

Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?​

Mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba

Je, Wajua Japo Tanzania Ilipaswa Kutawaliwa na Ukuu wa Katiba, Lakini Inatawaliwa na Ukuu wa Chama?. Mbele ya Chama, Katiba si Lolote, si Chochote!​

P.
What is the way forward for this case Wakili?
 
Unajuaje Nchimbi yupo na hajauawa kama hajatolewa hadharani?

Kama Nchimbi anataka kukaa kimya kwani anashindwa kutoka mara moja akasema nipo salama nataka kukaa kimya?

Unaelewa kuwa anayelazimishwa kumuonesha Nchimbi ni serikaki hapa?

Unafahamu wajibu wa serikaki chini ya Habeas Corpus, hususan kwa sababu Nchimbi kama Makamu wa Rais Mstaafu ana ulinzi wa serikali?

Unaelewa kuwa sasa hivi kabla Nchimbi hajaonekana kuna uwezekano kuwa kashauawa na ndiyo maana haonekani?

wanaosema nchimbi kashikiliwa wanaushahidi au wanahisi kwa kua hawajamuona?` na ni kina nani hao wanaosema hawajamuona, na hawajamuona wapi? suala la nchimbi kua kauwawa au lah ni jambo lingine
 
Lakini hapa point kubwa si kujiuzulu, point ni ku file habeas corpus wamuoneshe yupo na tuongee naye tujue ukweli.

Kama Nchimbi kauawa, kwa mwendo huu haonekani tu, tutajuaje yupo hai au kauawa?

Hata kama kajiuzulu ahojiwe zaidi sababu zake ni zipi, kwa sababu kuna maswali mengi bado.

Hii si kazi ya kwa muhindi, this guy is supposed to have been elected by 98% of voters, if you believe the results CCM is touting.

Kama Nchimbi kauawa na ma CCM wenzake hiyo ni murder vase.

Sasa tutajuaje hata kama yupo yupo hai bila ya yeye kuwakilishwa live tumuine na kuzungumza naye?

Hivi kama Nchimbi kashauawa mtajuaje kauawa au yupo hai?
UNA POINT USIKILIZWE.
 
wanaosema nchimbi kashikiliwa wanaushahidi au wanahisi kwa kua hawajamuona?` na ni kina nani hao wanaosema hawajamuona, na hawajamuona wapi? suala la nchimbi kua kauwawa au lah ni jambo lingine
Nchimbi hajaonekana hadharani kwa wiki nyingi, jambo ambalo si kawaida, kufuatia kujiuzulu kwake cheo ambacho serikali inadai kapigiwa kura kwa takriban 98%.

Katika mazingira tatanishi, tunaambiwa kajiuzulu bila kusikia kauli yake, kwenye nchi ambayo imegubikwa na wimbi la utekaji, uuaji na upoteaji wa watu.

Kama yupo, ana wajibu wa kujielezea kwa hao wapiga kura takriban 98%, na umma kwa ujumla, kwamba yupo hai na salama, na amejiuzuku kweli.

Mamlaka zinawajibika kutuonesha yupo.

Vinginevyo, tunaweza kusema Nchimbi kajiuzulu, kumbe hakujiuzuku kauawa.

Kwa sababu hata suala la kujiuzulu tumeona barua tu, hatujamsikia mwenyewe.

Ndiyo maana sheria inatoa nafasi ya watu kuanzisha kesi ya Habeas Coepus Nchimbi aletwe hadharani watu wamuone yu hai.

Huelewi wapi?
 
ndugu zao kina nchimbi wanasemaje?
 
Upuuzi huu jamani hadi naona aibu Wapinzani mnakwama wapi ?

Ni kwamba mnafurahia baadhi ya mambo yakitokea ili mpate agenda

Nchimbi amekuaje mtu wenu gafla mpka mmekua na uchungu mkali kiasi hiki?

Siasa za Tanzania sometimes ni takataka 🚮
Upinzan kazi yao kudai haki hata kama ni ya mwanaccm au ya mwingine

Hata Samia akizulumiwa watamtetea pasipo kuweka visasi mbele
 
sijasema ni jukumu lao peke yao, nachosema mimi binafsi nawaona wazushi kwa wao kukalia kimya jambo lile hali ya kua hatari iliyopo ilikua ni dhahiri --- sina maana nataka kuwatetea waliorusha risasi, hii changamoto ni collective
Kama huwezi kuwalaumu walio rusha risasi huja haja ya kulaumu chadema

Kwani maandamano ni jinai
Mpaka useme chadema walipaswa kukemea
 
Back
Top Bottom