Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,653
- 21,307
Nakazia hapa. Mihimili yote ya kizuzu na kizwazwaMwisho hata mihimili yetu hii mitatu,ni mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba ya JMT kinyume na katiba!
Nakazia hapa. Mihimili yote ya kizuzu na kizwazwaMwisho hata mihimili yetu hii mitatu,ni mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba ya JMT kinyume na katiba!
Pole...Frankly, you are boring me.
Ni kweli, hizi sauti, voices from inside, kila mtu anazo, tofauti ni mbili tuu,Kama muandishi wa habari na mwanasheria, unatakiwa kutuambia vitu vinavyoweza kuthibitishika, si habafi za sauti zako kichwani. Sauti za kichwani kila mtu ana zake.
Kwenye hili, la I have failed as a journalist and a lawyer, nakubaliana na wewe, kwasababu success and failures ni relative, zinafuata kanuni za relativity, kila mtu ana viwango vyake vya success na failures according to different expectations, wakati mwingine anakuona unafanya kazi nzuri ya kuelimisha watu na kusaidia watu kupitia kalamu, sauti na sheria,Waandishi wa habari na wanasheria mnatakiwa kututoa kwenye speculations na kutupeleka kwenye kujua facts. Wewe bado unatupeleka kwenye kabobo za speculations za sauti zako. By this line of reasoning, you have failed as a journalist and a lawyer.
You are right, no one knows everything, its true I do not know what that is!Your string of links is nothing but a problem of induction.
But I suspect you do not know what that is.
Kumtaka Nchimbi si kwa sababu ya kutekwa tu.Sawa mkuu, kwa kua ado shaibu wa act kashatoa siku 7 acha tuone hali itaendaje,
Maana kama tunasema kawekwa detention na kutishwa hata akijitokeza kupoza hali alafu akasema yupo na anaamua kulia kujitafakari --- ili kuokoa let say familia yake , siyatakua yaleyale tu?
Pole...
Ni kweli, hizi sauti, voices from inside, kila mtu anazo, tofauti ni mbili tuu,
1. Sio wote wanajaaliwa uwezo wa kuzisikia, ukitokea ukawa ni mmoja wa wenye uwezo wa kuzikikia, you are a very fortunate one.
2. Sio kila wanaozisikia, wana uwezo wa kuzisema, au kusema walichosikia, ukitokea kuwa mmoja wa wanazikia na wana uwezo wa kuzisema, ni an added advantage kwasababu kitendo cha kuzisema sauti hizi zinalisaidia sana taifa!.
Kwenye hili, la I have failed as a journalist and a lawyer, nakubaliana na wewe, kwasababu success and failures ni relative, zinafuata kanuni za relativity, kila mtu ana viwango vyake vya success na failures according to different expectations, wakati mwingine anakuona unafanya kazi nzuri ya kuelimisha watu na kusaidia watu kupitia kalamu, sauti na sheria,
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=jHJAc3quaWamVn2h, kwangu mimi, elimu hii ya katiba, sheria, haki na wajibu, ninayoitoa kupitia makala zangu magazetini , huduma zangu za msada wa kisheria kwa under privileged, kupitia PPR Legal, na vipindi vyangu vya uelimishaji umma, kwangu mimi ni msaada mkubwa na muhimu, kuliko hata litigations mahakamani, hivyo kwangu na kwa wafaidika wangu, its a success, lakini kwa wengine ni kuwapigia tuu kelele na kuwa bore, naheshimu mawazo yao.
You are right, no one knows everything, its true I do not know what that is!
P
Sipo kupinga maoni yako.Weww furahia kisa unapiga buku 7 au uko kwenye system, nakuambia yana mwisho haya, hata hao nchimbi na Pole pole hawakutegemea yatawakuta haya
Hakuna aliyeingilia faragha ya Nchimbi, yeye ndiye aliwaomba mamilioni ya Watanzania kura.Huku si kuingilia faragha ya Nchimbi,kwani mmemkosa nyumbani kwake?
Kwani walishaogopa mahakama?View attachment 3669698
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama.
Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
Everyone has the right to his/her opinion, anaeamua kama kuna kitu au hakuna kitu, sio mimi mwandishi, wala sio wewe msomaji, bali ni matokeo hasi or chanya ya kilichoandikwa!.Unaandika sana lakini hakuna kitu hapa.
acha tuone hali itakuaje mkuu, buku 7 unaenda mbali 😁Mababu wewe ni mgeni wa hii nchi au unaendeshwa na nguvu ya Buku Saba?
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na ameniagiza niwaambie wana Njombe kuwa anawapenda sana na anawashukuru sana kwa kura nyingi mlizompigia
Kuna wenzetu hawaishi hapa nchini, wao kazi yao ni kutuombea mabaya tu, kupandikiza chuki tu. Sasa unamuombea mwenzako kufa hiyo ni akili kweli? Nawatoa hofu watanzania, Rais wenu yuko imara...
- Missile of the Nation
- kassim majaliwa magufuli anachapa kazi magufuli mzima chato rais magufuli rais magufuli haumwi rais magufuli mzima tetesi magufuli kuumwa
- Replies: 1,459
- Forum: Jukwaa la Siasa
Mimi nataka tutoke kwenye opinion twende kwenye facts ndiyo maana nakataa abracadabra za "sauti za kichwani".Everyone has the right to his/her opinion, anaeamua kama kuna kitu au hakuna kitu, sio mimi mwandishi, wala sio wewe msomaji, bali ni matokeo hasi or chanya ya kilichoandikwa!.
Anayepima matokeo ni aliyeandika na aliyeguswa ak act na sio wewe msomaji!.
P
Umeiweka vizuri sana, umma unatakiwa kujua raia namba mbili yuko wapi, maana alijitokeza mwenyewe kuomba ridhaa kwa hao wananchi, na kwa mujibu wa takwimu, 98%(?) ya wapiga kura walimpa ridhaa ya kuwa namba mbili, leo mtu anakuja kusema watu wasihoji alipo, wakati alipokuja kuomba ridhaa wote tulimuona, leo ameachia nafasi yake, sio mbele ya wananchi, sio mbele ya waandishi wala media. Kwa nini tusiulize his whereabouts??Hakuna aliyeingilia faragha ya Nchimbi, yeye ndiye aliwaomba mamilioni ya Watanzania kura.
Ukiwaomba watu kura, unawaalika katika maisha yako. Hutakiwi kuacha kazi ya kupigiwa kura kama unaacha kazi kwa muhindi tu, bila hata kuonekana. Waliokupigia kura watajuaje umeacha kazi kweli? Kama wana maswali ya kuhoji huoni kuwa haitakuwa sawa kutoonekana uyajibu?
Actually kwenda nyumbani kwa Nchimbi ndiyo kumuingilia faragha yake. Nchimbi anatakiwa afanye press conference katika public space.
Ukiwaomba watu kura, unawajibika kujieleza kwao. Nchimbi bado hajajieleza vizuri kwa nini kajiuzulu. Mfano, hajafanya press conference na waandishi wa habari kujibu maswali yao.
Asingewaomba watu kura na kuwa Makamu wa Rais watu wasingemfuatilia hivi.
Ukiwaomba mamilioni ya watu kura, halafu ukajiuzulu bila kuonekana, unawajibika kuonekana angalau kusema "nimejiuzulu kweli".
Kwa mambo yalivyo sasa hivi, wananchi hawana uhakika Nchimbi kajiuzulu na kuamua kukaa kimya mwenyewe tu, kalazimishwa kujiuzulu, katekwa au kauawa.
Kumtaka Nchimbi si kwa sababu ya kutekwa tu.
Hata kama yupo salama anajificha tu, Nchimbi anawajibika kujibu mamilioni ya watu ambao supposedly wamempigia kura.
Ajieleze vizuri, ile barua ni yake? Kajiuzulu kweli? Sababu hasa za kujiuzulu baada ya supposedly kupigiwa kura na watu takribani 98% ya wapiga kura ni nini?
Exactly.Umeiweka vizuri sana, umma unatakiwa kujua raia namba mbili yuko wapi, maana alijitokeza mwenyewe kuomba ridhaa kwa hao wananchi, na kwa mujibu wa takwimu, 98%(?) ya wapiga kura walimpa ridhaa ya kuwa namba mbili, leo mtu anakuja kusema watu wasihoji alipo, wakati alipokuja kuomba ridhaa wote tulimuona, leo ameachia nafasi yake, sio mbele ya wananchi, sio mbele ya waandishi wala media. Kwa nini tusiulize his whereabouts??
Kwanza sio kila kitu kinahitaji facts, vitu vingine just an opinion inatosha!.Mimi nataka tutoke kwenye opinion twende kwenye facts ndiyo maana nakataa abracadabra za "sauti za kichwani".
Wewe ndiye unashikilia opinion, hutaki tutafute facts.
Huelewi wapi?
Suala si kwamba ni jambo la hiyari au si hiyari.Kama kweli kaamua kujiuzulu hata angekua kachagiliwa na 100% ambazo ni halali, kujiuzulu bado ni jambo la hiyari.
Kashfa kubwa hapa labda iwe kwamba hakujiuzulu jambo ambalo kwa kupima mzani ni ngumu kua hivyo, maana njia za kumtoa kwenye kiti zikikua nyingi na nyepesi zaidi ni ile ya uanachama.
Na mpaka sasa kwenye taarifa rasmi nchimbi kaondoka madarakani kwa kupoteza sifa ya uchaguzi (kuvuliwa uanachama)
Ni kweli ni ngumu kufahamu kwa uhakika. Na unachosema kinawezekana pia kutokea, kwasasa ni kusubiri tu muda wa wiki moja, tuone hatua za ado shaibu zitafika wapi.Suala si kwamba ni jambo la hiyari au si hiyari.
Hata huko kujiuzulu kwa hiyari, una hakika Nchimbi kajiuzulu?
Kwa mfano, kama Nchimbi kauawa, halafu watu wa CCM wakaandika tu kwamba Nchimbi kajiuzulu, wewe utajuaje kauawa?
Yani sasa hivi, bila Nchimbi kuonekana hadharani, kama Nchimbi alishauawa kabla ya barua kuandikwa, halafu barua ikaandikwa kwamba Nchimbi kajiuzulu, utajuaje kuwa Nchimbi kauawa na ile barua hakuandika yeye?
MKuu ppr haiwezi jitwika jukumu hili la kuomba interview na nchimbi ? 😁Kwanza sio kila kitu kinahitaji facts, vitu vingine just an opinion inatosha!.
Ni kweli Nchimbi toka baada ya ku resign, hajaonekana in public. Wenye jukumu la hitaji la kumuona ni wananchi, wenye jukumu kumuonyesha alipo ni sisi mhimili wa 4!.
Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?
P
PPR haiwezi, ile ni kampuni, imejikita kwenye habari za kimaendeleo tuu, developmental news na sio habari za kisiasa, ila mimi kama Pasco, ningeweza kujitwika hili jukumu la kumtafuta nifanye nae mahojiano, ila nilipoambiwa tuu hivi,MKuu ppr haiwezi jitwika jukumu hili la kuomba interview na nchimbi ? 😁
Thanks.Nimesoma na moja ya mdogo wako. D, aliyeko N Z. Wewe ulikuwa mbele shule ya msingi O bay.
Poleni sana sana sana