Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Duh...!hata wewe?!Unajuaje Nchimbi yupo na hajauawa kama hajatolewa hadharani?
Kama Nchimbi anataka kukaa kimya kwani anashindwa kutoka mara moja akasema nipo salama nataka kukaa kimya?
Unaelewa kuwa anayelazimishwa kumuonesha Nchimbi ni serikaki hapa?
Unafahamu wajibu wa serikaki chini ya Habeas Corpus, hususan kwa sababu Nchimbi kama Makamu wa Rais Mstaafu ana ulinzi wa serikali?
Unaelewa kuwa sasa hivi kabla Nchimbi hajaonekana kuna uwezekano kuwa kashauawa na ndiyo maana haonekani?
P