nchi ni ngumu kiasi, binafsi hata kitendo cha chadema kukaa kimya wakati watu walivokua wanajipanga kuingia barabarani kwenye uchaguzi naendelea kuwalalamikia kwamba na wao walikua wanasubiri kwa hamu watu wafe ili wapate advantage.Upuuzi huu jamani hadi naona aibu Wapinzani mnakwama wapi ?
Ni kwamba mnafurahia baadhi ya mambo yakitokea ili mpate agenda
Nchimbi amekuaje mtu wenu gafla mpka mmekua na uchungu mkali kiasi hiki?
Siasa za Tanzania sometimes ni takataka ๐ฎ
hivi kesho migiro akiitisha press na akatuambia wamemvua uanachama samia hali itakuaje?Ulifika ukashindwa kuingia?
Unaweza kuwaleta watu waliofika kwake tuwaulize?
Barua ya kujiudhuru haina nguvu, ukivuliwa uanachama unakosa nguvu ya kuendelea kubaki ofisini kwa kuwa unakosa udhamini wa chama. Ikumbukwe hatuna mgombea binafsi ktk sheria zetu.
Ukivuliwa unaweza kwenda kama Covid19. Huyu sidhani kama anaweza fungua shauri mahakamani kupinga mchakato husika.
Ikiwezekana ndg Kiranga ukafungue kwa niaba yake au watanzania kama alivyofanya Zito kwa Asad
Tuna muhimili mmoja tu hapa TZ, hiyo mingine ni kivuli tu cha muhimili mmoja.Duh...!, hawa nao!, they politicizing everything!.
Kabla mtu yeyote hajamuulizia Nchimbi, awe amekwenda nyumbani kwake kumuulizia, familia, ndugu zake, jamaa na marafiki, wakalalamika hawajui alipo, na waende kumtafuta sehemu ya mwisho alipokuwepo na whawakumkuta, ndipo ACT watakuwa na kitu kinachoitwa kisheria lucust stand ya kumuulizia kisheria.
Maadam hatujasikia familia yake au ndugu yake yeyote kumuulizia, then hiki nilichoambiwa
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza! ni kweli !
Ila pia huu ni uthibitisho sisi Watanzania ni mazuzu, na media zetu ni za kizuzu
Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?
Mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba
Je, Wajua Japo Tanzania Ilipaswa Kutawaliwa na Ukuu wa Katiba, Lakini Inatawaliwa na Ukuu wa Chama?. Mbele ya Chama, Katiba si Lolote, si Chochote!
P.
Kwa hili Chadema utawaonea mkuu watu waliongia barabarani walikua sio wana chadema walijitambulisha kama wazalendonchi ni ngumu kiasi, binafsi hata kitendo cha chadema kukaa kimya wakati watu walivokua wanajipanga kuingia barabarani kwenye uchaguzi naendelea kuwalalamikia kwamba na wao walikua wanasubiri kwa hamu watu wafe ili wapate advantage.
Lakini hapa point kubwa si kujiuzulu, point ni ku file habeas corpus wamuoneshe yupo na tuongee naye tujue ukweli.kwakua wamemvua uanachama , kujiuzuu kwake hakuna nguvu sana, kwa muundo uliopo cheo cha makamu wa rais anayekidhibiti ni rais (mwenyekiti wao)
Swali umeenda kwake ukamkosa?Lakini hapa point kubwa si kujiuzulu, point ni ku file habeas corpus wamuoneshe yupo na tuongee naye tujue ukweli.
Kama Nchimbi kauawa, kwa mwendo huu haonekani tu, tutajuaje yupo hai au kauawa?
Hata kama kajiuzulu ahojiwe zaidi sababu zake ni zipi, kwa sababu kuna maswali mengi bado.
Hii si kazi ya kwa muhindi, this guy is supposed to have been elected by 98% of voters, if you believe the results CCM is touting.
Kama Nchimbi kauawa na ma CCM wenzake hiyo ni murder vase.
Sasa tutajuaje hata kama yupo yupo hai bila ya yeye kuwakilishwa live tumuine na kuzungumza naye?
Hivi kama Nchimbi kashauawa mtajuaje kauawa au yupo hai?
mkuu unataka kuniambia wewe binafsi hukuhisi watu watakufa ile siku? chadema hawakuona hilo? unafikiri ni bahati mbaya wanaharakati wote wale ghafla wapo kenyaKwa hili Chadema utawaonea mkuu watu waliongia barabarani walikua sio wana chadema walijitambulisha kama wazalendo
Labda nikuulize Chadema walipaswa kuwazuia?
Huo ukweli unaupata wapi? Kwake au kwa nani? Kama ni kwake mtafute, nenda kwake na ukimkosa njoo useme kuwa nilienda kwake nilikutana na kijana wake au mlinzi nk. Ukajibiwa hivi na vileHujajibu maswali unauliza mengine.
Kwanza hiyo habari nzima ya mtu kwenda nyumbani kwake hailazimishwi kisheria. Hiyo ni distraction tu, kwenye sheria hakuna sharti la mtu kwenda nyumbani kwa mtu aliyetoweka ili ku file a habeas corpus motion.
So that whoke "ukienda nyumbani kwake?" point is moot.
Suala si barua ya kujiuzulu kuwa na nguvu au kukosa nguvu, suala ni kujibu kama barua ilikuwa yake ama la. Kwa sababu kuna hoja kwamba hakuandika yeye, sasa kama watu wanataka kujua aliandika yeye ama la, hilo suala zima la kufukuzwa uanachama hapo halipo, kwa sababu mtu anayetaka kujua kama barua iliandikwa na Nchimbi hata hajafika kwenye mambo ya kufukuzwa uanachama.
Tatizo wewe unaleta hoja ya mtu kwenda mahakamani kupinga mchakato husika wa kufukuzwa uanachama, wakati hoja yangu wala haihusiani na kupinga mchakato wa kufukuzwa uanachama, inahusiana na kujua ukweli tu.
Kuhusu mimi kufungua kesi, kama ACT wanafungua, hakuna haja yabkesi mbiki kwa jambo moja.
Hujaelewa hoja umeirukia tu.
Hata kama ni kweli je hilo jukumu lilikua ni la chadema pekee?mkuu unataka kuniambia wewe binafsi hukuhisi watu watakufa ile siku? chadema hawakuona hilo? unafikiri ni bahati mbaya wanaharakati wote wale ghafla wapo kenya
mimi binafsi nilitarajia wangetumia njia yeyote ya wao kutoa tamko lao hadharani kuwakataza watu kuandamana siku ile ya uchaguzi maana ulikua mkenge wa wazi sana
Hilo swali ni moot, kwa sababu habeas corpus motion hailazimishi hilo.Swali umeenda kwake ukamkosa?
Umewauliza ndugu zake?
SawaaaaView attachment 3669698
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama.
Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
Sasa mahakama itafanya nini?? Hamna mabadiliko yatakoyotokea Kwa maamuzi ya viongozi wa juu wa vyama ni mpaka wananchi waamue Kwa wingi Kwa pamojaSuala la polepole na nchimbi lipo tofauti ki uzani
changamoto hapa inategemea tunachukua angle ipi, Nchimbi kama VP mstaafu tunamzalimishaje atoke tumuone kama yeye hataki? kama familia yake ipo kimya haijalalamika hawa wananchi wanaotaka kumuona nchimbi hawaingilii uhuru wake wa kukaa kimya?Lakini hapa point kubwa si kujiuzulu, point ni ku file habeas corpus wamuoneshe yupo na tuongee naye tujue ukweli.
Kama Nchimbi kauawa, kwa mwendo huu haonekani tu, tutajuaje yupo hai au kauawa?
Hata kama kajiuzulu ahojiwe zaidi sababu zake ni zipi, kwa sababu kuna maswali mengi bado.
Hii si kazi ya kwa muhindi, this guy is supposed to have been elected by 98% of voters, if you believe the results CCM is touting.
Kama Nchimbi kauawa na ma CCM wenzake hiyo ni murder vase.
Sasa tutajuaje hata kama yupo yupo hai bila ya yeye kuwakilishwa live tumuine na kuzungumza naye?
Hivi kama Nchimbi kashauawa mtajuaje kauawa au yupo hai?
Habeas corpus hailazimishi mtu kwenda kwake, so your point is a gaslighting, strawman argument, non sequitur fallacy moot point.Huo ukweli unaupata wapi? Kwake au kwa nani? Kama ni kwake mtafute, nenda kwake na ukimkosa njoo useme kuwa nilienda kwake nilikutana na kijana wake au mlinzi nk. Ukajibiwa hivi na vile
Na mbele ya Mwenyekiti Chama si lolote si chochote. ๐Duh...!, hawa nao!, they politicizing everything!.
Kabla mtu yeyote hajamuulizia Nchimbi, awe amekwenda nyumbani kwake kumuulizia, familia, ndugu zake, jamaa na marafiki, wakalalamika hawajui alipo, na waende kumtafuta sehemu ya mwisho alipokuwepo na whawakumkuta, ndipo ACT watakuwa na kitu kinachoitwa kisheria lucust stand ya kumuulizia kisheria.
Maadam hatujasikia familia yake au ndugu yake yeyote kumuulizia, then hiki nilichoambiwa
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza! ni kweli !
Ila pia huu ni uthibitisho sisi Watanzania ni mazuzu, na media zetu ni za kizuzu
Je Wajua Taifa Bila Mhimili wa 4 Huru na Imara ni Taifa Mfu?. Je Watanzania ni Mazuzu?. Gazeti la M/halisi Lisamehewe Kuandika Ukweli au ni Zuzu Tuu?
Mihimili ya kizuzu inayoruhusu chama kuwa juu ya katiba
Je, Wajua Japo Tanzania Ilipaswa Kutawaliwa na Ukuu wa Katiba, Lakini Inatawaliwa na Ukuu wa Chama?. Mbele ya Chama, Katiba si Lolote, si Chochote!
P.
sijasema ni jukumu lao peke yao, nachosema mimi binafsi nawaona wazushi kwa wao kukalia kimya jambo lile hali ya kua hatari iliyopo ilikua ni dhahiri --- sina maana nataka kuwatetea waliorusha risasi, hii changamoto ni collectiveHata kama ni kweli je hilo jukumu lilikua ni la chadema pekee?
Mkuu lawama zote za October zielekezwe kwa waliofanya mauwaji
Hakuna haja ya kupiga ramli
naunga mkonoSasa mahakama itafanya nini?? Hamna mabadiliko yatakoyotokea Kwa maamuzi ya viongozi wa juu wa vyama ni mpaka wananchi waamue Kwa wingi Kwa pamoja
Muhimili mmoja wenye mihimili miwili ya usaidiziTuna muhimili mmoja tu hapa TZ, hiyo mingine ni kivuli tu cha muhimili mmoja.
Nchimbi hakuvuliwa uanachama bali alifukuzwa chamaUlifika ukashindwa kuingia?
Unaweza kuwaleta watu waliofika kwake tuwaulize?
Barua ya kujiudhuru haina nguvu, ukivuliwa uanachama unakosa nguvu ya kuendelea kubaki ofisini kwa kuwa unakosa udhamini wa chama. Ikumbukwe hatuna mgombea binafsi ktk sheria zetu.
Ukivuliwa unaweza kwenda kama Covid19. Huyu sidhani kama anaweza fungua shauri mahakamani kupinga mchakato husika.
Ikiwezekana ndg Kiranga ukafungue kwa niaba yake au watanzania kama alivyofanya Zito kwa Asad
Anyamaze ili kuleta mtafaruku na taharuki ya kitaifa?Duh...!, hawa nao!, they politicizing everything!.