Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nchi inajengwa kama ofisi?Kama chama kinashindwa kujenga ofisi zake, je kama kikipewa nchi kitaweza kuijenga ??!!
Kwa hiyo nchi inajengwa kama ofisi?
Nimeshakuambia ficha uzezeta wako
Bwashee ebu tuambie, kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu kiko wapi? Be honest please!Chuki inahusika hapa na si ukosoaji kwa nia ya kujemga. Isitoshe, CHADEMA teyari wameanza harakati za ujenzi wa ofisi zao karibu nchi nzima mbali na kujenga ofisi za makao makuu.
Tukosowane kwa staha.Nimeshakuambia ficha uzezeta wako
Ushauri murua kabisa, kwa hadhi ilikuwanayo, CDM ni vyema ikajenga ofisi za makao makuu zinazofanana nao. Wanapiga pamba kali sana, wanamiliki magari mazuri sana, wanafanya mikutano yao katika kumbi za gharama kubwa, hivyo vyote ni kithibitisho cha hadhi yao.This is not good at all
[emoji116]View attachment 2359858
Tunajua makao makuu ya eisiti yako pale sinza mkabala mwenge walipozungukwa na pubs na chips chomaThis is not good at all
[emoji116]View attachment 2359858
Na mjitahidi muwe mnakutania huko huko mioyoni na sio kwenye mikutano, maandamano na wal sio kwenye sanduku la kura.
Nadhani umeandika BS sorry lakini.Na mjitahidi muwe mnakutania huko huko mioyoni na sio kwenye mikutano, maandamano na wal sio kwenye sanduku la kura.
Nadhani pia sindano imeingia. Sorry lakini.Nadhani umeandika BS sorry lakini.
Wabheja ndugu.Nadhani pia sindano imeingia. Sorry lakini.
Sasa wewe tunazungumzia kitu cha msingi, ujenzi wa ofisi ya makao makuu ya chama, wewe unasema chadema imejenga ofisi mioyoni mwa watu! Ndiyo kitu gani sasa hicho?Tukosowane kwa staha.
mimba hiyo
Sijakielewa Mkuu.mimba hiyo
Mgabho gabho!.😎Na wewe mhungu hungu
Tupingane kwa hoja, sio kuitana majina Mkuu.Sasa wewe tunazungumzia kitu cha msingi, ujenzi wa ofisi ya makao makuu ya chama, wewe unasema chadema imejenga ofisi mioyoni mwa watu! Ndiyo kitu gani sasa hicho?
Egoo. Nu mkobwa kobwaMgabho gabho!.😎
Urakoze inshuti.Egoo. Nu mkobwa kobwa