ACT Wazalendo: Maoni ya Upinzani kuhusu mabadiliko ya rasimu ya Uchaguzi hayazingatiwi

ACT Wazalendo: Maoni ya Upinzani kuhusu mabadiliko ya rasimu ya Uchaguzi hayazingatiwi

Alafu boss wako chiro anasema uchaguzi utakuwa huru na haki [emoji854][emoji854][emoji854]
 
Huyu anajua ameshashindwa. Yaani usipewe nakala ya matokeo? . Yaani Act wazalendo na Chadema mnachekesha.
 
Kwa muktadha huu Act wazalendo hakuna chama. Ni waganga njaa yaani unasaini kanuni ambayo inasema wakala hatapewa fomu ya utambulisho alafu unakuja kulalamika Jf. Any way ndio maana mnajulikana kama Islamic brotherhood of Tanzania.
 
Back
Top Bottom