ACT-Wazalendo na CHADEMA wamefanya pakubwa ila sisi Wananchi ndiyo tumewaangusha. Tusiwaingilie katika maamuzi yoyote wanayochukua baada ya Uchaguzi

Wananchi Wakenya walilishinda hili jaribu, hawakuogopa mapolisi na risasi zao. Kulikuwa na fatalities, yes, but a worthwhile price to pay for the cause - Wakenya sasa wanakula matunda.

That's a point am trying to send across my friend!
 
Upinzani ni mawazo ya mabadiliko!Na hapo ndipo mnapokwama!Nakuhakikishia hawa wote waliopo akina Mbowe wakijiunga na CCM,mtashangaa bado mitandaoni tunaendelea kuwanyoosha!
Yes upinzani ni imani, ni kutokubaliana na baadhi ya mambo yanavyokwenda, ni sera mbadala. Kwa hiyo upinzani siyo Lissu, Mbowe au Zitto, Upinzani ni mawazo mbadala ya kuongoza nchi. Anayedhani anaweza kuumaliza upinzani kwa kuua vyama vya upinzani akapimwe akili. Anaweza kufrustrate upinzani ulioformal kisha akajikuta anashindwa kuucontrol upinzani ambao ni informal ukamgeukia na kumtafuna yeye
 
Wananchi Wakenya walilishinda hili jaribu, hawakuogopa mapolisi na risasi zao. Kulikuwa na fatalities, yes, but a worthwhile price to pay for the cause - Wakenya sasa wanakula matunda.

That's a point am trying to send across my friend!

Kenya kuna strong dividing line ya Ukabila. Mtu haingii mtaani kwa sababu anajali sana demokrasia, bali anaingia mtaani akiamini kwa kufanya hivyo ndo kutalinda maslahi mapana ya kabila lake!.

Huku kwetu dividing line ni dini, siku siasa zikifungamanishwa na maslahi ya kidini ndipo utakapoona watu wanaingia mitaani kwa kujidai wanapigania demokrasia lakini kinachowasukuma ni dini zao!.
 
Inasikitisha Sana kua mkipewa misaada na wazunguu mnawaita wahisani halaf wakisema tuwe na uchaguz huru mnawaita mabeberu shame on you
 
Huku kwetu hii CCM ya sasa inachokifanya ni zaidi ya ukabila na udini.
Ni uhasama wa kiitikadi (hostile ideological divide) ambao kwa CCM wapo tayari hata dini za watu zife kabisa ilimradi tu maslahi yao yalindwe kupitia lichama lao ovu.
 
Hata kama ni ukabila, but walipata walichokitaka, kama walikuwa wanaonewa ni haki yao ku fight; sisi hapa kwetu tunaweza kuungana kwa sababu ya itikadi yetu ya siasa, provided tutapata tunachotaka.

Mabadiliko huja tu bila kujali kama kiunganishi ni ukabila, rangi, umasikini, au kingine chochote.
 
Inasikitisha Sana kua mkipewa misaada na wazunguu mnawaita wahisani halaf wakisema tuwe na uchaguz huru mnawaita mabeberu shame on you
Shame on you too. nani alikwambia kila mzungu ana sifa ya kuitwa beberu. Ubeberu ni mfumo wa maisha na uchumi wa kundi fulani kama ilivyo Ujamaa, Ubepari, Ubwanyenye regardless to color of your skin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…