M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
- Thread starter
- #41
Wananchi Wakenya walilishinda hili jaribu, hawakuogopa mapolisi na risasi zao. Kulikuwa na fatalities, yes, but a worthwhile price to pay for the cause - Wakenya sasa wanakula matunda.Mleta mada, Jeshi la polisi la Tanzania halina uoga kupiga wananchi risasi ili kulinda maslahi ya genge la watu wachache walioko madarakani.
Nchi za wenzetu za Ulaya wanaandamana wakiwa na uhakika hawatopigwa risasi, huku TZ ukiangalia yaliyotokea Zanzibar unaona wazi wako tayari kuua!
Sasa hata ingekuwa wewe, kushiriki maandamano ambayo unaweza kupigwa risasi ukafa, ni vigumu kushiriki.
Kana unataka unazungumzia Arab spring ya waarabu, basi jiulize kabla hawajaingia barabarani walivumilia ujinga kwa miaka mingapi bila kuingia barabarani? - Kisha jiulize kule Misri jeshi lilipoanza kuchapa watu risasi bila wasiwasi hayo maandamano yaliendelea?
Katika nchi ambayo Jeshi liko Tayari kutandika watu risasi kwa sababu tu ya maandamano raia hawako tayari kuuawa. Labda yatangazwe Maandamano ya kuung'oa utawala madarakani na wananchi wawe tayari kwa hilo na wawe tayari kulipa gharama za mabadiriko hayo kwa damu zao ndo utayaona hayo maandamano, lakini na kufanikiwa kwake itategemea mtawala yuko tayari kuua wangapi ili kubaki madarakani. Watawala wengine kuua watu hata10000 ili alinde madaraka yake!
That's a point am trying to send across my friend!