ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

Hivi unaona ulichoweka wewe kina-akisi alichosema yeye ?!!!

Je....;

ACT Wazalendo: Tunafanya siasa za hoja, si maandamano​

Ni sawa na:

Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

Yes, that is it...

The country requires, needs and deserves vibrant opposition with issues to move on quickly 🐒

sio hii porojo na makelele ya vibaraka huko mtaani 🐒
 
Yes, that is it...

The country requires, needs and deserves vibrant opposition with issues to move on quickly [emoji205]

sio hii porojo na makelele ya vibaraka huko mtaani [emoji205]
Hahahahhaahhaaaaaaaaaa, ila nyie watu kazi mnayofanya ni ngumu sana!
 
Hawa tangu mwanzo tunajua ni tawi la mkoloni CCM na liliandaliwa mahsusi kudhoofisha ukombozi wa mtanganyika.
HAKI HAIOMBWI HAKI INADAIWA. Haya mabadiliko tunayoyatamani hayatakuja kirahisi namna hiyo kuna watu wachache wanaitafuna nchi wanavyopenda hawako tayari na hilo.
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

Kama CHADEMA wasingekuwa wanaandamana. Wao ACT itikadi yao ingekuwa ni "hoja" na kitu gani? Na kukaa kimya kama CHADEMA?

Bure kabisa hawa ACT
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

Zitto amesha vuta mkwanja wake wa kutosha huko Ccm sasa kamuachia kadadaa nae avute wa kwake. Hakuna jinsi mta weza kuibomoa Chadema kwa hongo.
Mta subiri sana.
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

Chama kinachojiita kinzani(kwa CCM)halafu kina malengo ya kukinzana na wakinzani wenzake kimtazamo,sijawahi kukiamini hata sekunde moja. 🤔
 
🌈 Umesikia Jokate amesema wanawake wasiwapigie wanaume kura, nyie kundi Lenu msimamo wenu ni upi?
mlikua kwenye kikao chenu cha wanawake sio , leo?🐒

eeh kasemaje mwanamke mwenzenu maana na nyie mlivyo na wivu nyinyi kwa nyinyi 🐒

funguka madame 🐒
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
Mtazamo wa
  1. Chapa ya jogoo Magomeni Usalama
  2. Jino kwa jino Buguruni
  3. Mapesa
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

CCM ndiyo wanapenda hiyo .... kufanya SIASA kwa terms zao.
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

Ha ha ha ha maisha haya
 
Back
Top Bottom