ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

Sisi wanawake hatuna la kusema, tunasuburi muongozo wenu nyie wa jinsia mchanganyiko😂😂
muache chuki na unafiki sasa sasa maana wanawake mnachukiana wenyewe kiaina, unaeeza kumwambia mwenzio amependeza kumbe wigi limekaa upande🐒

🤣 nyinyi dah,
pendaneni bana, ambizaneni ukweli, kama minywele imechacha mwambie tu mwenzio zimechacha sio unampamba oohh hizi bado ata miezi miwili ijayo ndio ufumue 🐒
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

Stupid kabisa, huyu mama na act yake wanaishi dunia IPI! Haoni maandamano kuanzia Senegal, ulaya, iseael, Congo, ili kulazimisha watawala watii maoni ya wengi!?Kama bado anaamini wakati wa kutumia maandamano bado!, basi, ni mjinga Sana, au ndio wale "ccm" B bure kabisa
 
Zitto amesha vuta mkwanja wake wa kutosha huko Ccm sasa kamuachia kadadaa nae avute wa kwake. Hakuna jinsi mta weza kuibomoa Chadema kwa hongo.
Mta subiri sana.
Hawana watu wa kuandamana ndiyo maana wanaona wivu. Labda Zanzibar lakini siyo Tanganyika.
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

No
Hivi unaona ulichoweka wewe kina-akisi alichosema yeye ?!!!

Je....;

ACT Wazalendo: Tunafanya siasa za hoja, si maandamano​

Ni sawa na:

Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana

Hivi unaona ulichoweka wewe kina-akisi alichosema yeye ?!!!

Je....;

ACT Wazalendo: Tunafanya siasa za hoja, si maandamano​

Ni sawa na:

Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.
Hayo ni machawa ya CCM yanataka kuigonganisha Chadema na ACT.
 
muache chuki na unafiki sasa sasa maana wanawake mnachukiana wenyewe kiaina, unaeeza kumwambia mwenzio amependeza kumbe wigi limekaa upande🐒

🤣 nyinyi dah,
pendaneni bana, ambizaneni ukweli, kama minywele imechacha mwambie tu mwenzio zimechacha sio unampamba oohh hizi bado ata miezi miwili ijayo ndio ufumue 🐒
Yaani haya yote ww wa duo gender unayajua, mbona Mimi haya siyajui?!
 
Hawa hata KATIBA MPYA wanasema si kipaomnele chao kwa sasa.
 
Waelewe kwamba serikali dhalimu za ulimwengu wa tatu hawajui siasa za kutumia hoja.
Ndio maana maandamano yalileta suruhu huko Africa Magharibi na Kasikazini..
Hata Macky Sall wa Senegal juzi baada yakutaka abadilishe muda wakukaa madarakani, alilazimika kuufyata baada ya kukabiliana na maandamano.
Hoja hazina nafasi Africa.

Sent from my TECNO CK7n using JamiiForums mobile app
 
Yes, that is it...

The country requires, needs and deserves vibrant opposition with issues to move on quickly [emoji205]

sio hii porojo na makelele ya vibaraka huko mtaani [emoji205]
Kazi unayo. What do you mean by vibrant opposition with issues to move on quickly? Lengo kuu la kuunda chama cha siasa ni kukamata dola si kukaa na kusifia au kujinyenyekesha kwenye chama kilicho na dola. Ni kutafuta weakness za chama tawala na kuzianika hadharani ili wananchi wavutike upande wa pili.

Tofautisheni kati ya civil societies v/s political parties. ACT kwa mwendo huo is just a civil society or lather a pressure group na lengo lake kuu si kukamata dola bali kutafuta some few benefits from the government.
 
katiba inaruhusu maandamano yenye tija, yenye maana na malengo mahususi [emoji205]

sio makelele, au jogging na kusumbua watu wanaofanya mambo yao ya kujipatia kipato [emoji205]
Kwa mjibu wa katiba ni maandamano yapi, yenye tija,maana na malengo mahususi na yapi kinzani?.

Sent from my TECNO CK7n using JamiiForums mobile app
 
Kazi unayo. What do you mean by vibrant opposition with issues to move on quickly? Lengo kuu la kuunda chama cha siasa ni kukamata dola si kukaa na kusifia au kujinyenyekesha kwenye chama kilicho na dola. Ni kutafuta weakness za chama tawala na kuzianika hadharani ili wananchi wavutike upande wa pili.

Tofautisheni kati ya civil societies v/s political parties. ACT kwa mwendo huo is just a civil society or lather a pressure group na lengo lake kuu si kukamata dola bali kutafuta some few benefits from the government.
si useme wazi tu kwamba hakuna chama cha siasa Tz, tofauti na CCM chenye lengo, mipango na madhumuni ya kushika dola, zaidi sana wanafanya harakati tu za mkono uende kinywani 🐒
 
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya siasa za hoja, siasa za maswali. Ameongeza kuwa ikifika wakati wakahitaji kutumia maandamano kama njia ya kujieleza, njia ya kutoa fikra zao basi wataandamana.

mkuu heading yako na content ni vitu viwili tofauti.Ukisoma content Bi Dorothy anaamini katika maandamano lakini heading yako inakataa😅
 
Back
Top Bottom